Recent content by WeTempoTu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Inabidi mtu awe mpumbavu kushawishika na kusema kuwa hakuna Mungu!

    Nina miaka minane Sasa toka nitoke kwenye ujinga mkubwa wa misamiati mungu shetani na malaika najiona mwepesi siku hizi vilinipotezea muda sana niseme tu kwamba kama Bado unatumia hiyo misamiati wewe ni mjinga wa kiwango Cha juu sana hatakama unaelimu ya juu kiasi gani mungu mwenyewe anaitwa wa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Mimi niliacha baada ya kugundua hakuna mwenye uhakika kama mbingu ipo au haipo na kama mbinguni kunaraha au hakuna picha lilianza pale ambapo Hawa watumishi wa mungu wanapougua nakutumia gharama kubwa sana kupona nawengine Hadi wanaenda kwa waganga wa jadi Ili wapone kwanini wasikubali kufa ili...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kati ya vitu vya kijinga ni hili la dini mashuleni wakati wanasema selikari Haina dini Yani tunawaandaa watoto watatue matatizo Yao kwakufumba macho nakuomba afu tunakuja kusema watoto hawajui hesabu atahangaika kuumiza kichwa wakati ametoka kuambiwa kunakufumba macho tu mambo yanaenda?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Siku hizi Hawa watumishi nao wanahubiri ngono tu kama ndoa ni ngono tu basi wanaume waache huduma zingine kama ndoa zitakuwepo mtu anawapa elimu ya lishe jitu lingine linawaza ngono kwani kujaza tumbo Kila wakati ndo kupata nguvu za ngono!!!
  5. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmefanya kuuza mihogo kuwe Bora kuliko kazi ya Ualimu Nchini

    Hakuna mshahara unaotosha ukilinganisha muda unaofanya kazi hasa ualimu ambao unaamka saa 11 asubuhi na unarudi nyumbani saa 12 jioni harafu kitukingine haya Maisha ya chuo nayo nisababu inayotuharibu mwalimu umezaliwa kijijini umekulia kijijini umesomea kijijini fursa unazozijua sana wewe ziko...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

    Kati ya upuuzi uliotuosha akili ni hizi stori za shetani na mungu
  7. W

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Watu wenyewe wanaitwa kondoo unategemea mini happy?
Back
Top Bottom