Habari za leo wandugu, naomba kuuliza hivi hizi barua za kujitolea zikishaandikwa unapotaka kupeleka katika ofisi/Kampuni huwa inatakiwa imfikie nani HR au MANAGER!? Ili nipate majibu na uakika wa kupata kazi hiyo ya kujitolea na ninapopeleka je napeleka na vyeti na CV zangu au barua tu pekeyake?
Habari zenu wadau,
Mimi nimesomea mambo ya masoko na mahusiano natafuta ajira nina diploma. Kama kuna mdau mwenye connection au kama alisikia kuna mahali ofisini kuna mchongo tafadhali naomba anijulishe CV, vyeti vyote ninavyo viko tayari na barua pia.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.