Recent content by WenceJaphet

  1. WenceJaphet

    TANAPA tafadhali pokea simu ueleze jinsi ya kuomba kazi Online

    Hawa TANAPA sio kosa Lao kosa la mtu wa IT inaonekana kaingia kazin na MEMO bora na inawezakana IT kukawa ma nafac za kazi hakuna ARUTI wala BARUTI wakae wajipange wasiwe wanakurupuka bora mfumo wa P.O.BOX kuliko wanajifny technology kumbe hawana lolote
  2. WenceJaphet

    Inauzwa Sony inch 37 bei 480

    Haina maslahi mkuu mwisho 450
  3. WenceJaphet

    Inauzwa Sony inch 37 bei 480

    Ww km huna hela kaa kimya uc post ujinga apa sw
  4. WenceJaphet

    Tafakari

    Huyo mzee wetu anaona mbali kwani lile jenga kukaa pale ndio lina zalisha umeme hata lingeamia wap yote sw na huduma zitaendelea tu morogoro road ni barabara kubwa sn hata wangeweka Njian 5 kwenda 5 kurudi pia ingefaa sn mtu huwez unatoka mkoa 2 unawaza dar foleni jmn wanunga mkono hoja MAKOFI...
  5. WenceJaphet

    Inauzwa Sony inch 37 bei 480

    Fny 460
  6. WenceJaphet

    Inauzwa Sony inch 37 bei 480

    Namba 0713011878 haina tatizo
  7. WenceJaphet

    Inauzwa Sony inch 37 bei 480

  8. WenceJaphet

    Wanawake hawa watakusababishia laana maishani mwako

    Hiyo namba 10 imenfunza sn mkuu mana nliachana na mwanamke wangu 7bu ya maneno machafu tupe na sifa za mke bora ss
  9. WenceJaphet

    Ajali ARUSHA: Bwana harusi afariki ajalini akienda kusikiliza hukumu ya Mama yake

    RIP ndg zangu tunaomba sn tupunguzeni mwendo jmn cc mziki mzito speed 100 apo ukiover take no shidaaaaaa hii jmn hata mm nilinusurika nikiwa na shemeji yenu ss nimejifunza mfn sharo yuko wap
Back
Top Bottom