Recent content by wenceboy

  1. wenceboy

    Spika Ndugai: Tundu Lissu amelipwa jumla ya Tsh.250m ikijumuisha stahiki zake Tsh.207m na Tsh.43m ya michango wabunge

    Waweke wazi kwamba mshara ni kiasi gani? na posho kiasi gani? na hela za matibabu ilistahili kiasi gani? hapo itajulikana nani anaeongea uongo. sisi hatujui chochote.
  2. wenceboy

    Hakuna mwanachama wa kudumu wa chama cha siasa

    HAKUNA MWANACHAMA WA KUDUMU WA CHAMA CHA SIASA. Na Kibona Dickson(mchambuzi huru) Aliyekuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, Patrobas Katambi ameondoka chadema na kuhamia CCM .Laurent Masha ameamua kurejea CCM baada kuwa mwanachama wa Chadema miaka miwili. UTANGULIZI. Dunia inabadilika,Siasa...
  3. wenceboy

    Hakuna mwanachama wa kudumu

    HAKUNA MWANACHAMA WA KUDUMU WA CHAMA CHA SIASA. Na Kibona Dickson(mchambuzi huru) Aliyekuwa mwenyekiti wa bavicha taifa, Patrobas Katambi ameondoka chadema na kuhamia CCM .Laurent Masha ameamua kurejea CCM baada kuwa mwanachama wa Chadema miaka miwili. UTANGULIZI. Dunia inabadilika,Siasa...
  4. wenceboy

    Lipumba awavaa viongozi CHADEMA

    lipumba kuna saa anaongea pumba na saa nyingine anaongea point...mjueni..
  5. wenceboy

    Ndugu yangu Zitto Kabwe, hasira zako kwa CHADEMA zisisababishe kutuvurugia nchi yetu TANZANIA.

    Watanzania tusipanic ila huyu zzk,kama hii ndo sera yake akienda mkoa mwingine ataongea nini?
  6. wenceboy

    Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

    serekali yetu haina hela..uvumilivu na subira tuwe nayo, hii ndo serekali yetu..ukawa tuwape serekali tuwaone..
  7. wenceboy

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Ndani ya wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro.kuna vijiji ambayo havijawahi kumsimamisha mgombea wa chadema katika nafasi mbalimbali ndan ya kijiji na vitongoji vyake,ila mwaka huu ikawa ni mara ya kwanza.kilichoshaaza CHADEMA wameshinda viti vyote. namsifu sana mh.Mbowe pamoja na mbunge wetu...
  8. wenceboy

    Ada kwa wanafunzi wa ualimu KAMPALA university

    naomba kuuliza kwa ambaye anafahamu ada ya semister moja kwa wanafunzi wa ualimu chuo kikuu cha kampala ni kiasi gan?
  9. wenceboy

    viwango vya ufaulu kidato cha sita

    utamlinganishaje form six wa mwaka huu na miaka iliyopita?maana nina mdogo wangu kapata B,D,D kwenye comb.kaandikiwa four...du!
Back
Top Bottom