Recent content by WEMBE WENGE

  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    Asante sana kaka
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tukiwanyima CCM kura tutaingia kwenye kitabu cha Historia ya Ukombozi

    Sawa kabisa, umesema kweli na ukweli mtupu
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

    umesema Mtanzania
  4. W

    JamiiForums Tanzania Polepole ataka Zitto Kabwe achukuliwe hatua kwa kupotosha ripoti ya CAG, amtaka 2020 atafute kazi nyingine

    ANA KIHEREHERE HUYO, HAJUI HATA KAZI YAKE! HALAFU ONA ANAVYOZEEKA KWA KUPELEKESHWA KAMA MGANGA WA KIENYEJI.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    weldone Chaps soko lake linapatikanaje? tunataka tuwe na uhakika ili tukiweka mtaji wetu tujiamini, ni masoko haya ya kawaida ama kuna soko maalumu?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    kumbe ufisadi ni sifa muhimu ndani ya CCM kupata uwaziri; alaa basi sasa mtakoma tutaitafuta sifa hiyo kwa bidii sana mpaka mtakoma mwalimu tunae PROFESSOR
  7. W

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    lowassa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Hivi habari hii si uchochezi wa kisiasa? mbona hii ni kali kuliko hata ile ya Mwanahalisi iliyolifungia gazeti la mwanahalisi?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Magufuli, naomba ushahidi wa barabara zilizojengwa na CCM

    Magufuli kwa urais viwango vinakataa, hatoshi kabisa "tunataka rais siyo mfano wa rais na rais ni........lowassa"
  10. W

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    pole ndug yangu habari za huko uliko wenzako hatukujikwaa tuliongeza mwendo na sasa karibu tutafika mwenzetu ulishukia wapi?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    Kamata hao weka ndani. Magufuli analalamika kila siku nchi ina mijizi. Si ndiyo hiyo aanze nayo ili atushawishi kama kweli anammanisha?
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    Inaelekea hawa jamaa wamewafukuza wataalamu wa habari wote wakachukua akina Nape ndiyo wanaoliandikia habari. bahati mbaya waliyonayo ni kuwa gazeti lenyewe linaishia kwenye meza za mauzo. kama kuna gazeti lenye return Nyingi Tanzania ni UHURU na kama ingekuwa linatakiwa kujiendesha kibiashara...
  13. W

    JamiiForums Tanzania CUF waibua Mgogoro mpya, Shaibu Mketto kuzungumza kesho

    Hivi Watanzania tumekosa muda mpaka tunajadili huu upuuzi?? HEBU NICHUE NYAV ZANGU NIKAVUE MIE, MWAMBIENI HUYO the horse ANAYEOTA AAMKE KUMEKUCHA ASIJE AKAKOJOA KITANDANI! WATU WANATAKA KUMPANDA.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Anajifurahisha tu anajua hachaguliwi kwa hiyo anaweweseka tu
Back
Top Bottom