Recent content by wema

  1. W

    JamiiForums Tanzania KILIMANJARO: Mabaki yanayodaiwa ni mwili wa mwalimu aliyepotea 2006 yapatikana

    Dah Pesa na wanadamu .....mauti ile iletayohasara ya nafsi
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dr Kitila na Mwigamba ndio waliomponza Zitto au ni mpango wa siku nyingi kumng'oa CDM?

    Tumemvumilia kwa muda mrefu mara anajua waloweka pesa uswiss huku hataji nadhani alifanya kama chambo la kupata pesa toka kwa wahusika
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dr Kitila na Mwigamba ndio waliomponza Zitto au ni mpango wa siku nyingi kumng'oa CDM?

    Anajifanya maarufu kuliko chama kwani zitto ni sera ndani ya chama? Aondoke hana heshima ni pandikizi la sisiem
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu aliponzwa na kujitapa Utustsi!!

    Ukabila hauna maana yeyote, Sasa maana Mungu ni Mmoja alituumba na kutupa tulivyo navyo hata leo. Muhimu sana ni kujua wengine bora kuliko wewe ndio na Mungu atakuona wewe. Watu wanaiba halafu story zinakuwa ukabila haifai kabisa katika jamii tunayoishi leo. Wema
Back
Top Bottom