Recent content by Wema Ally

  1. Wema Ally

    Ushauri wenu muhimu kwa hili.

    Thnx kwa ushauri.
  2. Wema Ally

    Ushauri wenu muhimu kwa hili.

    Mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,anaweza kunyonyesha maziwa yake na kuchanganya ya kopo kwa mtoto mwenye miezi2?na kama ukifanya ivyo mtoto atapata madhara gani?msaada wenu plz.
  3. Wema Ally

    Msaada wenu plz

    Mtu mwenye VVU ambaye tayar anatumia dozi anaweza kufanyiwa utrasound ya tumbo ama yoyote ile?maana kimtaani wanasema utrasound inapunguza siku zakuishi.
  4. Wema Ally

    Mke wangu anapenda kumsifia jirani yetu

    Ucje ukamuomba msamaha naww kausha ivyoivyo ww hunakosa bhana atamcfiaje mwanaume mwingne mbele yako
  5. Wema Ally

    Kamwambia nimuathirika wa HIV, Dada anahisi anadanganywa, anataka kuolewa naye

    Wafunge ndoa wazazi waambie baada ya ndoa,ila lamuhim nikwenda hospital kufuata ushari namna ya kuishi ili uyo mdada acpate tatizo.
  6. Wema Ally

    Nipo katika mahusiano na wasichana sita

    Na mm nataka niwe wa7.
  7. Wema Ally

    Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

    Habari zenu, Mimi ni mfanyabiashara wa duka la nafaka na bidhaa ndogo ndogo, sasa kuna star mmoja mwanamuziki naishi nae karibu na biashara yangu, akawa anakuja kukopa everyday mpaka ikafika 80,000. Kwa kuwa yeye ni star mimi nilimuamini kwamba atalipa sasa kazi ipo kwenye kumdai mara oooh...
  8. Wema Ally

    Anahitaji msaada wa kimatibabu na ushauri

    Habar zenu, Nina rafkiangu anasumbuliwa sana na tatzo lakutokwa na vipele aina ya uvimbe ukeni, juu ya mashavu ya uke. Nitatizo ambalo linamsumbua takriban mwaka sasa kila dawa za hospital katumia sindano kachoma sana bila mafanikio. Huo uvimbe ukiota wala hauumi ila unaiva kama jipu ukiiva...
Back
Top Bottom