Recent content by wego

  1. W

    Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

    Machozi hayakukutoka Wabunge wa Ccm kuzuia kwenda kumuona Mbunge mwenzao hospital Nairobi,unamlilia huyo dada?
  2. W

    Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

    Tunaambiwa tu corona ipo,tufwate ushauri wa madaktari,wataalam,na miongozo ya wizara ya afya bila data
  3. W

    Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

    Haya yangeulizwa na mkaguzi wa pesa za uma (C.A.G) Chadema walipata hati safi, CCM walimkimbia C.A..G Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    Wasifu wa Peter Lijualikali

    Huenda hujui kuwa hata Wabunge wa Ccm hukatwa Mishahara yao,na hapaswi kuuliza popote hata wakifukwazwa chamani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    Mbunge Lijualikali alia bungeni kwa unyanyasaji anaofanyiwa na Mbowe ajiuzulu ubunge amuomba Ndugai CCM wampokee

    Yaani Lijualikalii ameona Ubaya wa Chadema kuliko wa Ccm waliyofunga kwa miezi mitano kwa kesi ya kubambikia?Hon Mbowe na Chama wakaangaika usiku na mchana kukata Rufaa hadi kutolea gerezani? Alifikiri hizo fedha zinapatikana wapi?Au aliwalipa mawakili? Yeye ndiye Mbunge pekee wa Cdm aliyewekwa...
  6. W

    Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    Ni kweli hatupimwi,je Rais asinge sema mwanae aliugua ungejua? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. W

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Akili kubwa haiongozwi na akili ndogo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. W

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Lumumba watakuwa upande gani?maana hawakutaka mipaka ifungwe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. W

    Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

    Transaction ya hayo mafedha sio kama unatoa M-pesa,huenda zinajenga uwanja kule Chato,Huyo mkuu wa Takukuru akumbuke ya X CAG Sent using Jamii Forums mobile app
  10. W

    Pato la Taifa lapanda kwa asilimia 7

    Da!Sasa Kama ni sawa na mwaka 2019 imekuaaje?Au ulianguka mwaka gani na kwa asilimia ngapi? Kuwa mboch sio jibu
  11. W

    Pascal Mayalla na Jacton Manyerere wakubaliana na Spika Ndugai kwa uamuzi wa kumrejesha Mwambe na wabunge 4 waliofukuzwa CHADEMA

    Utamuduni wa Kitanzania Ni kumjadili mgonjwa wa Upinzani Bungeni?Kumzuia Mishahara yake?Kumfukuza kazi?Kumnyima matibabu?Mbochi sio jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. W

    Ushauri: Mbunge Sugu acha kuwajibu kwa jaziba wapiga kura wako

    Akili za majangili na majambazi Ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  13. W

    Ushauri: Mbunge Sugu acha kuwajibu kwa jaziba wapiga kura wako

    Sijaleta tetemeko,Sigawi chakula,Mlimchagua Mbunge wa upinzani mwambieni awaletee maji.Haya uliyasikia au kuyaona? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. W

    Hii si ajabu kuruhusu mikusanyiko ya ibada na kuzuia watu kuwazika wapendwa wao!, Hawajui kuwa mazishi pia ni ibada? RIP Fili Karashani, tumekuzika!

    Umetumia kipimo gani kujua Ni kifo Cha kawaida na sio corona? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. W

    Tunatoa huduma ya kukodisha magari

    Tunatoa huduma ya kukodisha magari(Private) Aina ya kazi: 1.Tours 2.Harusi 3.Sendoff 4.Kusafirisha Misiba 5.Picnic N.K Location.Ubungo external Call us 0784/0753/0715/0622 955 900
Back
Top Bottom