Recent content by wefube

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Hii imekaa vizuri. Hili watanzania waache kukimbilia siasa wabunge walipwe mishahara Kwa vigezo vya usomi wao. Kama ni darasa la Saba,apewe mshahara wa cheti cha darasa la Saba possibly Kima Cha chini.Utaratibu huu ulitumika huko Ribya enzi za Gadafi.Wasomi wengi walikuwa hawakimbiii siasa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Hivi safari hizo za kualikwa nani analipia garama?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

    Msukuma pamoja na kibajaji ni wachekeshaji Wala siyo wanasiasa.Wako katika bunge kuchekesha .Wangekuwa na uwezo kama rais wa Ukraine ningewafagilia.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?

    Kama Paschal angekuwa chaguo la CCM ajue angesaidiwa kuiba kura ili awe mbunge lakini kula za maoni hazikutosha akapata kura moja.Sijui kwanini anaendelea kutoa povu Kwa wezi wa kula Wala wenyewe hawana habari naye.Zimepita teuzi nyingi lakini si GPM au Chifu agaya amemkumbuka. Andika makala ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Mmechangia shs ngapi kizinunua.?
  6. W

    JamiiForums Tanzania CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

    Kweli mpinzile umepinda ubongo
  7. W

    JamiiForums Tanzania Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama

    Mzimu wa shule za wazazi unamsubua
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Jamani tukumbuke kutongozana kulikuwepo lakini ngono hakuna. Sasa hivi ni mambo unapewa mzigo
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    Wewe unanuka ukabila
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Umeandika upuuzi.Naona hiyo stroke imekupitia kwenye ubongo
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Wewe Ni mkatoliki feki.Wakatoriki hawakurupuki, hawatukani na si wabishi katika mambo yanayogusa imani ya mtu
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Pamoja na matusi mengi, mtoa uzi siyo mkristo. Hapo vip!!
Back
Top Bottom