Mimi Binafsi nadhani, halituhusu kabisa. Sisi tumetoa heshima za Mwisho kwa Mzee aliyetuongoza kwa mazuri na pia kuna mapungufu yake,
Suala la familia yake ni mambo Binafsi, kama zilivyo familia nyingi tu zenye matatizo yao ya kifamilia, lakini hatuzisikii sababu hawana coverage ya vyombo vya...
Kwani Pena ni nani kwenye hili wakati Muathirika mwenyewe yeye hana shida na wala hajalalamika, ila amepewa ujumbe tu kuwa kwa vile yeye ni Public Figure, Kusemwasemwa ni lazima...
Huyu Pane anawashwa nanini na aache kimbelembele...
Nchi Yetu tupo katika usingizi mzito wa PONO. Tumelalaaaaaaaaaaa na sijui lini tutaamka.
Tubali bila kukwepesha macho na kunyoosha maneno..Tuna "OMBWE la UONGOZI" Bila kuwa na makusudi ya dhati kama Taifa, kutoka hapo, basi tuendelee Kulala Usingizi wetu wa PONO.
Nungana na wewe Kabisa.
Nadhani kwa mtu mmojammoja ili uishi maisha ya kutosumbuka na Umeme na Maji tafadhari anza kupanga sasa kuwa na Independent power generations, (Solar na Generator for Electricity) and Kisima cha kuchimba kwa ajili ya Maji (Dawasa). Hii kwa wakazi wa Dar es Salaam.
At least umeonyesha kuwa hata wenzetu mlioko ktk vyombo vya usalama mnakerwa na mpo pamoja na ndiu zenu wananchi kupinga huu unyonjaji na ukandamizaji wa haki za raia, ikiwa kama hili andiko ni l kweli.
Lakini, hamuihitaji Mawakili, fanyeni kama walivyofanya wanajeshi na mapolisi wa Mistri...
Hakuna kitu hapo....mambo yanayozidi kujitokeza kila siku yafanyikayo nyuma ya pazia...ni anguko la utawala...ni suala la muda tu.....
Trust imepotea na inazidi kupotea kwa kasi kubwa....
Ikiwa itatokea kama mnenaji alivyo malizia, basi Spika na Bunge lake wamepoteza hadhi ya kuwa mjengoni, na kwa hiari yao waondoke, na pili Mahakama Kuu nayo ijitahmini na watupe mrejesho Kama wanaona ni haki nao kuendelea kukaa na kutafsiri Sheria.
Kama hayo yote yakifungiwa macho, basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.