Recent content by waziry

  1. waziry

    Another OFFER FROM Airtel- Univouchers

    sasa hii ya 1500 ipo vocha ya bei hiyo kweli??
  2. waziry

    Another OFFER FROM Airtel- Univouchers

    tunapataje hizo univouchers ?? Tangazo hili official lipo wapi?? msaada
  3. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    naona mwamba umewaandama wapemba vibaya vibaya. wameshakugonga nini??
  4. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    yeye kilaza halafu kagonga wewe ?? ina maana wewe ni kilaza zaidi. halafu kama sio ---- mbona umeingia kichwa kichwa kununua hicho ukiitacho kopo? mafala ndio wananunua makopo kama ulivyofanya wewe heshima kitu cha bure wee mbaguzi wa kabila
  5. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    wacha ubaguzi. UNA violet JF terms of use.
  6. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    umeambiwa utaje kifungu cha sheria . hilo gazeti uliloliandika hapo halina jibu. toa kitu short and clear. kifungu gani cha sheria??
  7. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    strong na qsat zinafanana?? qsat ni jembe la uhakika na unapata kwa bei nafuu. huo wako sasa ni WIVU au HASIRA ?
  8. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    wewe ndio huna upeo. tena umejaa wivu. hoja zako na mashambulizi yako dhidi ya munji yapo kama wale wa buguruni na uwanja wa fisi, waliofanyishwa kazi kisha wasilipwe chao. unalalamika kwa kununua dongle?? shame on you
  9. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    kama hauwezi kuandika kiingereza sahihi rudi darasani au andika kiswahili kitupu. usitie aibu hapa.
  10. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    tatizo umekosea kutumia dongle. dongle haitumiwi kama ni primary source of your TV. weka na fta. huelewi tu
  11. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    babu keep it up njunwa wamavoko kuwapa elimu. achana na hao wasioelewa tech. wanofunga ki dongle pekee bila ya fta. kikigoma wanalalama kama wari waliovunjwa bikira
  12. waziry

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    mia mia mwanangu njunwa wamavoko . wewe munji na paje ni moto wa kuotea mbali. mijitu haina uwezo wa kufikiri, hawapo creative , halafu wanataka kutegemea dongle pekee. wachovuuu
  13. waziry

    Desktop computer mpya

    sehemu nyingi wanauza used computers. mie nahitaji core i3 desktop mpya. mwenye kuelewa duka naomba tusaidiane
  14. waziry

    Desktop computer mpya

    HABARI naomba nisaidiwe duka ambalo naweza kupata desktop mpya kwa bei nzuri hapa DAR natanguliza shukurani
  15. waziry

    Simu na pad za tecno bei rahisi.....

    hizo simu bado zipo?
Back
Top Bottom