Recent content by Waziri Wa Raha

  1. Waziri Wa Raha

    Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

    Yani kama una crown au mark x usifuatane na Golf utapata hasira zile gari nikitu kingine
  2. Waziri Wa Raha

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wakuu naombeni anaejua jina account flan ivi ya instagram ambayo ladies huwa wanapost anomalous confessions zao.
  3. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Sina muda huo nenda pia kwenye page ya shangazi fatma TL utaikuta tena Hii documents Tuache mihemko tuongee vitu vyenye data.
  4. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Ndio nimesoma sijaona mahali watu walipo ambiwa wasivae barakoa wasi observe social distance Kama bado mnabisha this is not worth kubishana Hope somo mtakuwa mmepata kutokuongea ovyo kabla hamjawa na data zakutosha hiyo ni goverment documents kabisa ambayo ukisikiliza vyombo vya habari vya...
  5. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Umesema serikali haifuati science hizo hapo nimeattach kuonyesha maelekezo yakukabiliana na Corrona
  6. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Hatufuati kivipi? Unataka police wapite waanze kupiga watu? Usiamini kila kitu tafuta undani wake kwanza, haya hizo hapo instruction kutoka wizara ya afya
  7. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Are you sure of this cz mim nina instructions kutoka kwa Wizara ya afya latest kabisa kuhusu corrona wacha niziweke hapa
  8. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Wew unataka data za nini? Yani tell me the importance yakusema leo watu 1000 wamekufa na corrona au wanacorrona. Kutangaza kwa wananchi. Data acha zitumike na wizara ya afya na serikali juu ya kuongeza jitihada but data zisitumike kama mashindano na kujengea hofu jamii, ugonjwa upo njia za...
  9. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Unafikiri Tz kungekuwa na vifo 1000 tuu kwa siku kwa corona kungekuwa na kuficha? Vifo/kifo hakifichiki mahospitalin tunakuona mtaani tunakuona yes kwa confidence naweza sema Tz sio kama SA na wala sio kama USA.
  10. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Bro kuna mtu hajui ni nchi zipi zimekuwa affect sana na Covid? Well nchi karibu zote za ulaya na USA kwa hapa kwetu tusiisahau KENYA na SA zimeonyesha kushambuliwa sana One thing mnatakiwa kujua mficha maradhi kifo humuumbua Tz corrona ipo ndo maana watu wamekufa kama nchi nyingine ingawa...
  11. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Nafikiri inahitaji mwelewa kunielewa, kuvaa barakoa nikitu kingine na virus mutation nikitu kingine as long as virus tayari alishatokea na yupo nafikiri sasa hakuna nchi ambayo hakuna corrona swala la kuwa 10 times mutated lilikuwa niswala la muda tuu. Hata hizo instructions za WHO ukizifuata...
  12. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    So no one dare to answer this scientifically. Swali langu la msingi lilikuwa hili Je tungefuata WHO instruction kusingetokea virus mutation? Jibu ni noo Virus mutation ni changing of virus (DNA or RNA) structure. Stucture ya DNA or RNA. Inavyobadilika ina weza kutupa impact positively kwetu...
  13. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Think hapa alikuwa anaongelea ile first wave ya corona yule virus from wahun its true that version yavirus kwetu sis haikuwa threat kubwa wote tunakumbuka mwakajana mwezi 6 cases zakorona zilipungua kabisa. Nilikuwa nakaa karibu na makaburi flan watu walikuwa wanazikwa usiku vifo vilikuwa vingi...
  14. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    What is virus mutation? What are the factors that trigger virus to mutate?
  15. Waziri Wa Raha

    Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

    Let discuss this scientifically, je hata tungefuata WHO instructions kusingetokea virus mutation?
Back
Top Bottom