Recent content by Way way

  1. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Samahani nataka kuuliza kwamfano Kila kitu ushafanya Yani kulipa na kuchukus finger print na kupiga picha je ombi linaweza likataliwa ?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Huko uhamiaji maana nimeshafanya Kila kitu lkn Sasa wananizungusha mara waseme kuwa mfumo wakupokelewa ombi unasumbua Yan sielewi hapa! Nimetengeneza tangu mwezi wa sita mwaka huu mpka leo hii nazungushwa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Jamani nataka kuuliza je kwa mfano mtu akishafanya finger print pamoja na kupiga picha je ombi linaweza kukataliwa?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kutumwa kwa Email

    Wakubwa Nina tatizo nimetumiw ujumbe kwenye email leo siku ya pili mpka Sasa sijaipata tatizo ni nini naombeni munisaidie
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Maafisa Uhamiaji wa Mikoani wanavyosumbua waombaji wa Passport

    Uliipata passport yako
Back
Top Bottom