Recent content by wax

  1. wax

    Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Sasa unaifataje sera kama vitendea kazi havipo Mtunga sera hajaleta vitendea KAZI Mtu amekuja hana gloves inabid akanunue Au unataka huyo NES atoe pesa zake akununulie
  2. wax

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Komaa mzee kwan umeshikiwa kisu uoe?? Hayo ni maamuzi binafsi usipangie watu namna ya kuishi
  3. wax

    PreGE2025 RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake

    Si mliwapigania wanawake Kwa sera ya women empowerment sasa hayo ndiyo matunda yake Wameanza kuota mapembe wanawachoma nayo Mpaka mkome
  4. wax

    PreGE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

    Mzee mbona umecharuka sana Au amegusa kinyeo chako ebu punguza kelele kidogo vumilia amalize kukojoa uvae condolences zako Jaman msisahau mitano tena kwa Maza jembe letu
  5. wax

    PreGE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

    Ndiyo maisha mzee Ngoja sisi tulambe asali Mitano tena kwa Maza Hata kipind cha mwendazake kuna watu walikuwa wana enjoy life
  6. wax

    Kanizidi umri lakini ana sifa hizi. Je, nijilipue nimuoe?

    Ukimuacha huyo Binti lazima uje ujutee baadae Nakuambia kama mwanangu Wanawake wanasumbua mno Muombe Mungu akuongoze
  7. wax

    Kwakua Sasa Damu ya JWTZ imemwaga, Tukirudi Nyuma, tutakua tumewakosea Mashujaa wetu waliofia Vitani , Kagame APIGWE ,DRC alindwe.

    Si alienda jesh mwenyewe Au unafikiri kazi ya jeshi ni kuuza ice cream Nyumbu wewe
Back
Top Bottom