Recent content by Watu pori

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Natamani siku moja polisi wasifanye kazi vituo vyote vifungwe alafu tuone matokeo yake yatakuaje
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii hawajitokezi kulaani alichofanyiwa ‘SUGU’ na polisi au hakiwahusu.

    Uunajua moja ya majukumu ya polisi nikuangalia usalama wa nchi sasa wakitekeleza majukumu yao nyinyi mnachukia tena acheni siasa kwenye suala la usalama wa nchi yetu
  3. W

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

    Lakini siwanakuwa wamelipa nauli tayari au ?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya Nanenane tutazuru kwenye Jiwe alilopumzika Shujaa Magufuli baada ya kuchoshwa na Kazi nyingi pale Dodoma

    Alikuwa ww kwaiyo ww ni mzimu au? mwache mzalendo wetu mpenda nchi yetu Ccm oyee Na mama yetu oyee
  5. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakushukuru hata kama haki ilichelewa lakini tumeipata

    Tunashukuru mama kwa kutukumbuka Na sisi mungu akulinde popote ulipo
  6. W

    JamiiForums Tanzania Majaliwa Shujaa wa ajali ya Precision Air ya Bukoba atinga Bungeni leo Novemba 11

    Ndo mdaa wake huu majaliwa
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu bidha zilizoisha muda

    Habari ni waku naomba kufahamu ukikutwa na bidha dukani zilizoisha muda sheria inasemaje kuhusu hilo
  8. W

    JamiiForums Tanzania kumekucha twendeni tukalijenge taifa

    Uje kumwagilia yasikauke Sent using Jamii Forums mobile app
  9. W

    JamiiForums Tanzania kumekucha twendeni tukalijenge taifa

    Sio mbaya ukipaka rangi ya bendera ya taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. W

    JamiiForums Tanzania kumekucha twendeni tukalijenge taifa

    Jumanne ya tarehe 15 tunamshukuru mungu kwa wale tulio wazima WA afya na wale wenye shida mbalimbali tunamuomba mungu awaponye ili waweze kurudi Katika majukumu yao ya kila siku. Kumekucha twendeni tukapambane kutafuta maisha na kujenga taifa letu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. W

    JamiiForums Tanzania Dar: Adaiwa kufariki dunia baada ya mwenye nyumba kuondoa paa la nyumba

    Kama Kweli unamanisha watu wanaopenda kusaidia duniani Kweli wapo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. W

    JamiiForums Tanzania Dar: Adaiwa kufariki dunia baada ya mwenye nyumba kuondoa paa la nyumba

    Kama Kweli unamanisha watu wanaopenda kusaidia duniani Kweli wapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. W

    JamiiForums Tanzania Dar: Adaiwa kufariki dunia baada ya mwenye nyumba kuondoa paa la nyumba

    Kama Kweli unamanisha watu wanaopenda kusaidia duniani Kweli wapo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. W

    JamiiForums Tanzania Dar: Adaiwa kufariki dunia baada ya mwenye nyumba kuondoa paa la nyumba

    Kama Kweli unamanisha watu wanaopenda kusaidia duniani Kweli wapo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom