Yeah mambo ya readings za sensor tayari,na kuhusu Kenya Kuna kitu umeniongezea ambacho nilikuwa sifahamu gari ni Honda hivyo tulishawishika kuagiza Kenya maana kule ziko nyingi mno
Wadau wa JF yoyote mwenye ufahamu kuhusu website nzuri kutoka Japan nayoweza kununua spare parts (pressure sensor) kutoka Japan.
Maana nimeishanunua used mara mbili kutoka Kenya zinafeli nataka nijaribu Sasa kununua mpya kutoka Japan mdau anejua njia nzuri zaidi ya kupata hako ka sensor from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.