Kweli mkuu ushauri wangu jipange uchimbe kingine chimba hata 80 au 100 na kama unataka kwaajil ya kumwagilia yani maji mengi ueke PVC ya inch 5 au 6 utapa maji mengi sana
Mkuu kesi kama hizi ni nyingi sana watu wamekua hawana uaminifu katika kazi wanaharibia hadi wanao fanya kazi zao kwa uaminifu usimamizi katika hili ni lazima
Mkuu kama haukuwepo pengine hakikufika mita ulizotaka ilitakiwa uwepo ujue bomba ngapi zimeingia kila bomba 1 ina mita 3 au jaribu kutafuta kitu ambacho unaweza kupima ili ujue kama kwel walitimiza hizo mita 60
Habari mm ni mchimbaji wa visima kila maeneo yana water level yake hapo inaonekana alie chimba amefata maelezo yako ya mita 60 hakuangalia sample ya mwamba wenye maji katika uchimbaji kila baada ya mita 2 lazima upange sample ili ujue jinsi ya kupangilia bomba katika PVC kuna screen na plane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.