Tunaishi kwenye nyakati za sayansi na technologia inayo rahisisha maisha kwenye nyanja zote zikiwepo kiuchumi na kijamii. Nina imani kupitia technologia ya mawasiliano naweza kupata mke mzuri, mke mwema.
Kwa heshima kubwa natafuta mke wa kuoa, umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, sichagui elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.