Recent content by waser tron

  1. waser tron

    JamiiForums Tanzania Data Science ni elimu gani na inahusu nini?

    Hivi Data Science ni elimu gani na inahusu nini? Naomba maelezo kidogo kuhusu kozi hii. Je, kuna uwezekano wa kupata ajira baada ya kusoma Data Science? Pia, mwanafunzi aliyesoma PCB anaweza kusoma kozi hii?
Back
Top Bottom