Recent content by wasafi1995

  1. wasafi1995

    Joshua Nassari: Maisha yangu yapo kwenye bonde la uvuli wa mauti - Maisha yangu yapo HATARINI Watesi wetu wananitafuta

    Nassari: Usalama wangu uko shakani Siku tatu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), kuibua tuhuma nzito dhidi ya viongozi wa serikali waliowashawishi madiwani wa chama hicho kujizulu na kuhamia CCM, mbunge huyo amesema maisha yake kwa sasa yako shakani. “Usalama wangu...
  2. wasafi1995

    Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

    Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa Chadema, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano hakuna kilichosaidia kung’amua ni katika...
  3. wasafi1995

    Familia ya Lissu yafanya kikao na uongozi wa Bunge. Washindwa kufikia muafaka baada ya CHADEMA kukosa mwakilishi

    Familia ya Lissu yafanya kikao na Bunge Wakati Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiendelea namatibabu katika Hospitali ya Nairobi, familia yake imefanya kikao cha siri na uongozi ya Bunge kujadili matibabu ya mbunge huyo. Kikao hicho kimefanyika leo Jumatatu jijini Dar es Salaam na...
  4. wasafi1995

    Wabunge Lema Msigwa na Nassari wawasilisha ushahidi wa rushwa Ofisi za Mkurugenzi wa TAKUKURU

    VIDEO-Lema adai Takukuru waanza kuwachunguza madiwani Arusha Kuangalia Full Video Ingia Kwenye App ya Chadema News au bonyeza link chini kui download au click Chadema News – Програми Android у Google Play Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema ( Arusha Mjini) na Mchungaji Peter...
  5. wasafi1995

    Wabunge Lema na Nassari kuweka ushahidi hadharani kesho kuwa Madiwani walipewa rushwa kuhama CHADEMA kwenda CCM

    Lema kuanika ushahidi wa madiwani waliojiuzulu Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema kesho Jumapili ataweka hadharani ushahidi wa tuhuma walizonazo kuhusu madiwani wa chama hicho waliojiuzulu wakisema ni kutokana na kuunga mkono utendaji wa Rais John Magufuli. Lema na mbunge...
  6. wasafi1995

    Arusha: Polisi yazuia mikutano ya Lema

    Polisi yazuia mikutano ya Lema Arusha. Polisi Wilaya ya Arusha imepiga marufuku mikutano ya hadhara ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kwa maelezo kuwa kutakuwa na ujio wa viongozi wa kitaifa jijini hapa. Pia, kuzuiwa mikutano ya mbunge huyo wa Chadema kunahusishwa na tukio la kuungua...
  7. wasafi1995

    Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa

    Serikali haijui Ben Saanane kama amekufa au yuko hai Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema Serikali haijui kama Ben Saanane alikufa au yuko hai, lakini Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta ili kujua kilichotokea. Saanane ambaye ni Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa...
  8. wasafi1995

    Wasomi waishangaa Serikali kujitokeza matibabu ya Lissu wakati huu

    Waishangaa Serikali kujitokeza matibabu ya Lissu wakati huu Kauli ya Serikali kwamba iko tayari kugharimia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu popote pale, imeibua mjadala mzito huku baadhi ya wasomi wakidai ni ya kujikosha baada ya kushindwa kuwajibika tangu kiongozi...
  9. wasafi1995

    Lema & Msigwa waliamsha Dude Nairobi wakizungumzia hali ya Lissu na siasa za Tanzania

    Lema, Msigwa waliamsha Nairobi Wabunge wawili wa Chadema wametumia mahojiano nje ya nchi kuzungumzia matatizo ya Tanzania wakisema hayawezi kumalizwa na mtu mmoja bali kwa mifumo imara ya mihimili ya Mahakama, Bunge na Serikali. Wakizungumza katika mahojiano na Kituo cha Televisheni cha KTN...
  10. wasafi1995

    Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto

    NYUMBA YA ZITO ILIYOPO KIGOMA YAUNGUA MOTO Nyumba ya Mbunge Kigoma Mjini Zitto Kabwe aliyoijenga wakati akigombea ubunge kwa mara ya kwanza iliyopo Kibingo, Kata ya Mwandiga mjini Kigoma imeungua moto jioni hii. Nyumba hiyo iko kiwanja kimoja na nyumba yake ya sasa imeteketea yote na chanzo...
  11. wasafi1995

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    UPDATES NA YANAYO ENDELEA KUHUSU AFYA TUNDU TUNDU LISU Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa hivi sasa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anaweza kuongea na kula kidogo. Akizungumza na waandishi leo Alhamisi jijini Nairobi, Mbowe amesema taarifa za kwamba Lissu amepata...
  12. wasafi1995

    Hatimaye Tundu Lissu ameweza kuongea akiwa Hospitalini; '"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"

    KAULI YA MH TUNDU LISU AKIMUAMBIA MBOWE BAADA KUZINDUKA; **MWENYEKITI I SURVIVED TO TELL THE TALE** PLEASE KEEP UP THE FIGHT ***** Ni maneno machache aliyosema Tundu Lissu Baada ya kufumbua kinywa** Nimaneno machache sana alio zungumza mh.lisub lakini yamebeba ujumbe mzito mimi na amini...
  13. wasafi1995

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    BREAKING NEWS -DEREVA WAB TUNDU KUHITAJIKA KITUON POLIS WAMUITA KWA MAHOJIANO Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amemtaka dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema)Tundu Lissu, ajitokeze ili aweze kutoa maelezo yake kuhusiana na tukio la kupigwa risasi bosi wake. Kamanda...
  14. wasafi1995

    Updates toka Kenya: Hali ya Lissu yazidi kuimarika, ulinzi waimarishwa. Ukienda kama hautambuliki huingii ndani

    RAIS KENYATTA AMEAGIZA HOSPITALI ALIKOLAZWA TUNDU LISSU KUONGEZEWA ULINZI..! Rais Uhuru Kenyatta Ameliagiza Jeshi La Polisi Kuongeza Ulinzi Katika Hospitali Ya Agha Khan Nairobi Alipolazwa Tundu Lissu. Hii ni kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya usalama ili wale waovu kama watajaribu kumfuatilia...
Back
Top Bottom