Recent content by warda wa kigoma

  1. W

    Azam Media Group

    kuhusu bei sikatai ur right
  2. W

    Azam Media Group

    wanapatikana tazara
  3. W

    Azam Media Group

    wanapatikana maeneo ya tazara
  4. W

    Azam Media Group

    kwa mwez 12500 na king'amuz 95 elfu
  5. W

    Azam Media Group

    naomba tuwekane sawa ju ya hili.bei ya king'amuzi cha azam tv sio elfu 30 na kwa mwezi sio buku 2.muda ukifika mtajua na mtaelewa wadau.sio mdanganyane tu.
  6. W

    Azam Media Group

    sio kweli kwa mwezi sio buku mbili jaman.
  7. W

    Azam Media Group

    sio kweli bado hatujazindua.na bei bado haijajulikana kabisa.
  8. W

    Azam Media Group

    jamani eleweni kuwa uzinduzi bado haujafanyika bado.na kama hamjui bei ya king'amuzi mnyamaze.mi nipo azam tv head office na nafaham bei ya king'amuzi vizuri tu na malipo kwa mwezi sio buku 2 jamani.embu subirini vitoke alafu ndio muongee.customer service agent wa azam tv.
  9. W

    Azam Media Group

    jamani bei ya king'amuzi cha azam haiko ivyo jamani wala malipo kwa mwez si shiling buku 2.muda ukifika kila kitu kitahulikana.customer care agent wa azam yv
Back
Top Bottom