Recent content by ward41

  1. ward41

    Pamoja na wivu wenu dhidi ya Ukatoliki, tambueni Mtume Petro amezikwa Kanisani kwetu pale Vatican, siku ya kiama atafufuliwa na Kristo kutokea hapo!

    I say mbona huelewi. Nimesema Petro aliuwawa mwaka 67 AD na Catholic limeanzishwa 312 na Constantine, Vatican imejengwa, kipindi cha Martin Luther probably miaka ya 1500. Sasa huo mwili wa Petro waliupata wapi. Hata hapo bado huelewi. Nimesema elimu tu kawaida inahitajika. Petro Alikuwepo karne...
  2. ward41

    Pamoja na wivu wenu dhidi ya Ukatoliki, tambueni Mtume Petro amezikwa Kanisani kwetu pale Vatican, siku ya kiama atafufuliwa na Kristo kutokea hapo!

    Jiongeze, petro alisulubiwa na warumi miguu juu kichwa chini AD 67 na mfalme Nero. Kipindi hicho hakuna Vatican, wala Catholic Church. Catholic limeanza 312 AD na hiyo Vatican ni ya majuzi tu ujenzi wake kipindi cha Padre tarzel. Kama huna shule achana na history
  3. ward41

    Pamoja na wivu wenu dhidi ya Ukatoliki, tambueni Mtume Petro amezikwa Kanisani kwetu pale Vatican, siku ya kiama atafufuliwa na Kristo kutokea hapo!

    Da petro alikufa AD 67 na Ukatoliki ulianzishwa 312 AD, akafu unasema kazikwa Vatican. Jamani acheni kutuabisha. Vatican ni kanisa la majuzi tu hapa alafu unatuaminisha Mambo ya kina petro ya zamani Sana. Jamani someni hata shule tu ya kawaida itakuongezea maarifa
  4. ward41

    Uzalishaji wa Mafuta Duniani, bado USA kaziacha by Far nchi za Gulf States

    Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana. Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani. Ukijumlisha na...
  5. ward41

    USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Uongo mkubwa. Marekani haizalishi??
  6. ward41

    USA wako serious sana. Uchumi wao ni mkubwa sana 30 trillion USD

    Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD. Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi Mchina ana safari ndefu Sana. Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni 18 trillion.
  7. ward41

    Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

    Uzinzi: mwanandoa kutoka nje ya ndoa Uasherati: Kufanya tendo la ndoa pasipo koa au kuolewa
  8. ward41

    Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

    Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako. Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu Maandiko yanasema akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote. ( zaburi 103:3) Mahubiri ya yesu Kristo wakati...
  9. ward41

    Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

    Ajifunze kwa TB Joshua
  10. ward41

    KILA KUNDI, TAIFA LINATAKA AMANI NA ISRAEL, (Silaha Zote Zimeshindwa).

    Mimi nimebarikiwa ndiyo maana nataka na wewe Ubarikiwe ndugu
  11. ward41

    KILA KUNDI, TAIFA LINATAKA AMANI NA ISRAEL, (Silaha Zote Zimeshindwa).

    Hili ni taifa teule la Mungu. Pamoja na Kuzingirwa na maadui pande zote yaani Hezbollah, Houth, Hamas, Iran, Russia na silaha kutoka kila upande wa dunia, bado Israel imeibuka kidedea. Ushindi huu Sisi wengine mapema tuliona. Tulionya pia kwamba hawa maadui watapigwa. Kweli dunia imeshuhudia...
  12. ward41

    Hivi kulingana na biblia nani alikuwa ni nabii wa mwisho na nani alikuwa ni mitume wa mwisho ?

    Mbona umeandika kitu kirefu Sana. Jifunze ku summarise story. Anyway Mambo ya manabii utata umemalizwa na kitabu cha WaEbrania 1:1-2
  13. ward41

    Netanyahu ni roho ya mfalme Daudi

    Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David. Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40. Na ni nadra Sana David alipigwa. Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel...
  14. ward41

    Hawa viongozi walipanga kuliaangamiza taifa la Israel

    Matamshi ya kutaka kuliaangamiza taifa la Israel hayakuanza Leo. Viongozi wengi Wamefanya hivyo tangu zamani. Baadhi ya hao viongozi ni 1) Pharaoh 2) Haman 3) Nebuchadnezzar 4) Belshazzar 5) Sennacherib 6) Saddam Hussein 7) Ahmadenajad 8) Raisi 9) Adolf Hitler 10) Iddi Amin Pamoja na hayo...
  15. ward41

    Taifa la Israel ni msingi wa Kanisa

    Hii ni elimu ya juu Sana. Kama uelewa wako ni mdogo, utabaki kupolomosha matusi. Taifa LA Israel limejengwa juu ya watoto 12 wa Yakobo. Miongoni mwa wale watoto, alikuwepo mtoto kwa jina la YUDAH. Kutokana na huyo mtoto, Yesu alizaliwa kwenye huo ukoo. (Ndiyo maana anaitwa Simba wa Yudah)...
Back
Top Bottom