Sielewi kwa nini ustuke. Haya ni mambo ya kitaaluma, inabidi kujiandaa. Taabu ni pale serikali nzima inapokataa sayansi na kuamini mara nyungu, mara kikombe cha babu! Ni kweli tusipochukua hatua, na kama hatukuputika kwa janga hili, linakofuata taabu itakuwa pale pale! Tuamke, tuchukue...
Bwana retired, jibu ni hakuna. Kwa kuwa unaweza kuandika mtandaoni, nina uhakika unaweza kutafuta jibu hili katika google. Na kwa nyongeza, vifo vinavtotokana na kansa kwa wanawake kansa inayochukua namba moja ni kansa ya shingi ya kizazi. Ni ugonjwa mbaya, unagundulika ukiwa umechelewa na vifo...
Mambo mazuri kuyaaongezea. Pia akiongezea na
Kwa kweli mamnbo mazuri hayo. Pia akitia msisitizo namna atakavyokuza uchumi( economic growth), hasa kama fedha yetu na mikopo itaelekezwa katika maswala yatakayokuza uchumi, kama:
1) Human capital development: elimu yenye mitaala ya kuwapa vijana...
Hatuna dawa iliyothibitishwa kutibu. Na hatuna scientific evidence zinazoonyesha kuwa hatua ni sahihi. Kisiasa na ki -mataga unawezajisemea chochote , lakini mwenye macho haambiwi tazama!
Taabu ni kuwa katika nchi hii sasa tunachanganya sayansi na siasa. Kama unaelewa sayansi ya magonjwa haya huwezi kulinganisha nchi za ulaya na chi za Africa. Tunatofautiana sana katika mambo yanayopelekea maambukizi, hivyo hatuwezi kujigamba kuwa hatua tulizochukua ndio zimepunguza maambukizi...
Buildings, machines, multitudes of people singing praises are all good; but the critical issue is showing people that our interventions are working. We need evidence of results, not ngojera. This we have seen, now folks: deliver results! That is the role of government to its people.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.