Recent content by wankuru nyankuru

  1. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Zile taarifa za migogoro na kero za wananchi zinazotumwa Ofisi ya Rais TAMISEMI nyingi sio za kweli

    Ungekuwa wewe kero kama hizo ungetatuaje? Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  2. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Zile taarifa za migogoro na kero za wananchi zinazotumwa Ofisi ya Rais TAMISEMI nyingi sio za kweli

    Mkoani Arusha tangu tarehe 8-10/5/2024 kulikuwa na clinic ya kusikiliza kero na malalamiko ya wananchi, clinic ikiendeshwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha kupitia watalaam mbalimbali kutoka ofisi yake, TLS, Ardhi n.k. Clinic hiyo Kwa ujumla imezaa matunda Kwa wananchi wengi waliojitokeza na imeonesha...
  3. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    Matako makubwa yenyewe Huwa yananuka yasipofanyiwa usafi kikamilifu Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  4. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Lete mifano halisi ya ADC wa nchi nyingine waliowahi kucheka Hadi kusababisha madhara Kwa rais. Espionage duniani imebadikika ila sisi tuko na Ile ya kipindi Cha ujima Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  5. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Tanform-Arusha tunaomba mtutengenezee barabara mliyo ijaza udongo kutokana na ujenzi wa ukuta wenu Moshono Losirwai

    Tanfoam Iko Moshono? Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  6. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuongoza Mapokezi mazito ya Rais Samia siku ya Mei Mosi mkoani Arusha yatakakofanyika kitaifa

    Maneno meengiiii hakuna Cha maana ndani yake Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  7. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Pale rain bow Kuna pis Kali Huwa zinaingia kutegesha wanaume Sent from my Infinix X6819 using JamiiForums mobile app
  8. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM inashindana na chama gani kama upinzani upo haupo vile

    Sioni kama ni vyema CCM kuendelea kutumia nguvu nyingi kujitamba na kujigamba majukwaani kwani Hadi Sasa sioni chama Cha kushindana na CCM. Upinzani wenyewe ni kama upo haupo, chadema nao ni kama wapo hawapo, ict wanaojiita wazalendo nao ni kama hawapo vile. Kwa kurahisisha ni kwamba upinzani...
  9. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Tunashukuru serikali ya awamu ya SITA Kwa kufanya maandalizi mazuri ya kupokea tukio hili muhimu duniani
  10. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Muda mwafaka wa waheshimiwa kujipitisha pitisha ili kujionesha kwa wananchi

    Sasa ndio muda mwafaka Kwa waheshimiwa kujionesha mbele ya jamii kuwa wako karibu na wananchi hasa tunapoelekea kwenye kipindi Cha uchaguzi. Baadhi ya matukio yanayoweza kuambatana na kujipitisha ni pamoja na: 1. Kutoa misaada Kwa makundi maalum 2. Kuhudhuria matukio ya kiserikali. 3...
  11. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote kumsaliti Yesu, inamaanisha nini?

    Yule wa uarabuni vipi yupo?
  12. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Hap wanaabudu mwezi au Mungu?
  13. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Endelea kusifu na kuabudu
  14. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mongella kupewa ubunge wa kuteuliwa Kisha kwenda kugombea ubunge Jiji la Arusha

    Kufuatia na yanayoendelea Jijini Arusha , uwezekano upo mkubwa John Mongella kuteuliwa kuwa Mbunge na badae kwenda kugombea Ubunge Katika Jiji la Arusha akichukua nafasi ya Gambo ambaye Kwa kweli ameonekana kupoteza mvuto mbele ya jamii ya watu wa Arusha Jiji. Lakini utabiri unaonesha kwamba...
  15. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Mhe. John V.k. Mongella,soon atateuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kuchukua nafasi ya dkt Nchimbi ambaye Hadi Sasa kapoteza mwelekeo
Back
Top Bottom