Recent content by Wangwe phD

  1. Wangwe phD

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Ubunge; wananchi walisema nini kwenye rasimu ya Warioba?

    Naunga mkono hoja Lakini uongozi ni raha sana hata wewe ndugu ungekuwa mbunge usingefanya reform kama hiyo watu wanapambania matumbo yao bhn 😂😂🚶
  2. Wangwe phD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    10.Michael Kembaki - Tarime mjini
  3. Wangwe phD

    JamiiForums Tanzania Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani?

    Kwang mimi ilikua namiaka 20 tu 2020 nilipata baada ya kuweka mkeka na game ya mwisho ilikua ni Real Madrid alishinda na mimi mzigo ukazama kwenye account lakini cha ajabu usiniulize nilifanyia nini cha maana kanji alaaniwe🚶
  4. Wangwe phD

    JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka Ahmed Ally akiwa mtangazaji pale radio Free Afrika

    Mwamba bado mzima huwezi jua kesho yake😀
Back
Top Bottom