Recent content by wangwafi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    Uhusiano wetu na Rwanda umekufa nani kasema , Rwanda hawa sie tnawasaidia wataalam wa madini uhusiano umekufa , acha uongo
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

    Ni wapi huko tutajie suala lako lishughulikiwe haraka
  3. W

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

    Huyu kaenda kuchungulia fursa ya Marijuana Malawi na sio tumbaku ameona inalipa zaidi
  4. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Mbona ruzuku kila mwezi cham kinapokea na mnakaa kimya ajabu kabisa
  5. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Waliishatimuliwa lakini Ruzuku ya kila mwezi chama kinapokea hii ni ajabu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. W

    JamiiForums Tanzania Jafo: Viongozi acheni tabia ya kuinua mabega, jeuri na kiburi kwani sisi wote tutaonja mauti!

    Huyu Mwalim Mkuu wa Shule ya sekondari Dodoma alikubali kumpokea mwanafunzi mmoja aliyetoka Mkoa wa Katavi baada ya kukamilisha taratibu zote za uhamisho na hadi kupitia TAMISEMI amekuja baadae kusema hamkubali na hamtaki huyo mwanafunzi bila ya sababu ya msingi pamoja na kuwa ametumia gharama...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Fanya kazi badala ya kushinda mitandaoni ndio utajua kuwa anatupeleka wapi . Asiyefanya kazi na asile chapa kazi ndugu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Jafo: Viongozi acheni tabia ya kuinua mabega, jeuri na kiburi kwani sisi wote tutaonja mauti!

    Huu ujumbe umfikie Mwalimu Mkuu wa shule ya sekondari Dodoma , yaani kazidi na ni mnyanyasaji mkubwa si kwa watumishi pekee wanafuzi na hata wazazi wakienda kwa ajili ya jambo lolote la kikazi na kwa kweli huyu amulikwe na kushughulikiwa pia.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani umemalizika, tumeona umuhimu wa kujenga taasisi imara sio watu imara

    Wewe muongo angalia polisi wa Marekani walivyokuwa wanatoa kipigo cha Mbwa koko you tube - Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress
  10. W

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Waafrika hatukemei uvunjifu wa amani na fujo za Kidemokrasia zinazoendelea sasa Marekani?

    IGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andika Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines

    Shida ni miundo mbinu ya TANESCO kipindi hiki chamvua nguzo zinaanguka miti inagusa nyaya NK
  12. W

    JamiiForums Tanzania Karibuni uraiani Tito Magoti na Theodore baada ya kununua uhuru wenu kwa Tsh. milioni 17

    Mbona wamekiri kutenda kosa ,kwa akili za kawaida utakiri kosa ambalo hujatenda ?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Karibuni uraiani Tito Magoti na Theodore baada ya kununua uhuru wenu kwa Tsh. milioni 17

    Unajitekenya na kucheka mwenyewe tu, serikali ina mkono mrefu msijidanganye.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Hizo ni ni shares za mwaka 2019 usilishe watu matango pori mwaka huu ni 20202
Back
Top Bottom