Recent content by WANGECI WA NGUGI

  1. WANGECI WA NGUGI

    Wafanyabiashara wanaochukua bidhaa Afrika Kusini na Uganda

    Mkuu- fafanua kidogo kuhusu soko la chocolate ,biashara yake ikoaje kwa Tanzania
  2. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Nimekuelewa mama amoni , nashukuru pia , japo binafsi sidhani kama umbali wa kijiographia unaweza kuzuia mimi kuelimishwa kuhusu utafiti na uandishi wa matokeo ya utafiti . Kwa heshima na Taadhima ,nakuomba mkuu mama amoni ,ufikirie njia unayoweza kunisaidia . Tafadhari mama amoni !
  3. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Eleza nini maana ya pumba na nini maana ya mchele .?!
  4. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Binafsi natamani lakn pia napenda sana maandiko yenye mrengo wa tafakari kama ambayo ww huwa unayaandika hapa. Natamani sana siku moja na mm niwe na uwezo wa kuandika na kuchapisha maandiko hasa ya kitaaluma ,yaaani publishing Research, Articles ,Books ,papers ,essays in International journals...
  5. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Binafsi nashukuru sana mama amoni. Maandiko yako Ni mwanga kwangu ,hasa ukizingatia mimi ni mwanafunzi wa shahada ya awali katika chuo kikuu.
  6. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    samahani : Naomba kukuuliza , unapoandaa na kuandika andiko kama hili na mengine mengi yanayofanana na hili , unatumia mbinu gani ?!, ukizingatia lugha ya kiswahili haijitoshelezi kimsamiati lakn ww katika maandiko yako ,umeweza tena kwa kiasi kikubwa kabisa ,kwanza kuandika mada zenye kuleta...
  7. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Hoja inapingwa na Hoja mbadala , kutukana na kutumia lugha ya kuudhi na matusi ,Haifai na pili ni kinyume na miiko na maadili ya kanuni za majadiliano yenye kuleeta .
  8. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Mkuu , Mmawia ... , Wastaraabu Huwa Hawatukani , Kama una unapinga Hoja Tajwa kwenye andiko basi ni vema ukaleta Hoja pingamizi ( Hoja mbadala dhidi ya Hoja tajwa hapo juu kwenye bandiko hili)
  9. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Nini maana ya usanifu bora wa hoja ?! Pia katika lugha ya kiswahili au kiingereza unatumia nadharia gani inayothibitisha usanifu wa hoja kujitosheleza kimaana na kimantiki
  10. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bila-samahani, sasa nauliza vizuri swali langu . Katika kueleza na (ku) bainisha hoja ya msingi katika andiko hili kwamba " Upindifu wa kimantiki ni kosa la kimantiki ambapo mwongeaji hutunga hoja inayokiuka misingi bora ya usanifu wa hoja na uendeshaji wa mijadala." Swali : Je unatumia...
  11. WANGECI WA NGUGI

    Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Swali kwa mama amoni ; Katika kueleza na bainisha Hoja ya msingi katika andiko lako hili , unatumia methodolojia gani ambayo ,kwanza inakubalika katika muktadha wa kifalsafa na hata dhana za kitaaluma ili kufikia hitimisho uliloweka ?!
  12. WANGECI WA NGUGI

    Kwa wale mlio na uhitaji wa kusoma/kujifunza lugha ya Kichina UDSM

    Gharama za mtihani kwa kila ngazi zipoje ?!
  13. WANGECI WA NGUGI

    Kwa wale mlio na uhitaji wa kusoma/kujifunza lugha ya Kichina UDSM

    Inachukua muda gani kusoma ngazi hizo zote sita ,
Back
Top Bottom