Recent content by Wang Shu

  1. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Why Simba make antetionKambi ya yanga ni bora?

    Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti na watani zao mara zote wameonekana kutulia kwenye kambi yao Kigambani, wanapunguza matumizi ya...
  2. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Paka kunifatafata ni jambo la kawaida?

    Nauliza kuhusu wale paka bado wanakufwata?
  3. Wang Shu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kumkataa

    Mwenyezimungu alimetuambia wanaume kuwa tuishi nao kwa akili wanawake.
  4. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Simba ataanza nyumbani huku yanga ikianza ugenini Yanga atamaliza nyumbani huku simba atamaliza ugenini
  5. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Leo ni zamu ya simba kuingia makundi
  6. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Timu ya yanga inacheza mfumo gani msimu huu mpaka imetiza ndoto?
  7. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Yanga nafasi kubwa ipo kwao Watafika makundi mwaka huulabda wasitake
  8. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Simba inatinga hatua ya makundi kwa kuitoa power dynamo
  9. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Kila la kheri timu zetu wiki hii tufike makundi timu 3 iwe historia kubwa kuwahi kutokea
  10. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Simba atacheza na power dynamo ya Zambia( Levi mwanawasa stadium
  11. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Al merek timu kutoka Sudan
  12. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

    Timu yanga itacheza mechi ya mzunguko wa pili dhidi ya Al merek nchini Rwanda mji wa Kigali Pele stadium
  13. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Mayele kuondoka Yanga, pengo lake linazibika kiurahisi sana

    Simba nguvu moja
Back
Top Bottom