Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120%.
Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara...
Biashara ya nafaka ni biashara nzuri sana. Nimefanya tafiti toka mwaka 2021 nemegundua kuwa mahindi Huwa yanashuka sana mwezi wa 7 Hadi 9 bei hufika Hadi tsh 6000 kwa debe moja(Lita 20) kwa maeneo ya vijijini (utafiti wangu nilifanyia njombe). Ila ikifika mwezi wa 2 Hadi 6 mahindi huuzwa tsh...
Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani naweza kupanda ?
Na ni mbegu aina gani inakubali vizuri njombe ?
:.Mawazo Yako ni muhimu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.