Recent content by WANDEWANDE

  1. W

    JamiiForums Tanzania Upende usipende Zitto Waziri mkuu awamu ijayo

    ichambue katiba vyema na si kwa mihemko ya kisiasa. katiba inasema chama chenye wabunge wengi ZAIDI ndicho kitatoa waziri. kipengele kicho kinaendelea kwa kusema AMA mbunge anayeungwa mkono na wabunge wengi kama hakuna chama chenye wabunge ZAIDI. tatizo lililipo ni tafisiri ya maneno...
  2. W

    JamiiForums Tanzania FUNGUKA UJINASUE :- Chadema yamomonyoka

    hakuna cheo kama hicho Chadema. itikadi na uenezi ni huko huko ugambani
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kupiga Kura ya Rais eneo tofauti na Ulipojiandikisha

    ONYO: msipotoshe watu na wala msiendelee kupotosha watu juu ya swala hili la kura ya Rais maana linafanyika kwa kiasi kikubwa. hakuna mtu atakayeruhusiwa kupiga kura ya Rais nje ya kituo chake alichojiandikishia. na hii ni kwa sababu, hakuna uwezekano wa kutambua uhalali wa mpiga kura...
  4. W

    JamiiForums Tanzania LHRC ya Kijo Bisimba imetapeli waangalizi BVR

    na hawa LHRC inabidi tuwaanzishie timbwili. wameondoa kabisa heshima yote ya taasisi na kuwa taasisi ya unyanyasaji, wizi, kujiona,kujidai nk
  5. W

    JamiiForums Tanzania LHRC ya Kijo Bisimba imetapeli waangalizi BVR

    Hawajalipwa toka mwezi wa pili japo walipaswa kulipwa mara tu wakikabidhi ripoti ya siku kumi na tano, mpaka leo wanapigwa danadana tu wakati wao washalamba hela toka kwa wafadhili wao. huu wizi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Magufuli aikonga sekta ya afya

    tunasubiri kuiondoa cc.
Back
Top Bottom