Magufuli aikonga sekta ya afya

Magufuli aikonga sekta ya afya

MAGUFULI AIKONGA SEKTA YA AFYA
Sekta ya afya ni muhimu na nyeti mno kwakua inagusa kila hatua ya maisha ya mwanadamu. Kwa mfano mtu hawezi kufanya vema kazi yake kama hana afya nzuri hata Mh. Rais hawezi kutekeleza majukumu yake vizuri kama hana afya imara.

Kwa kuliona hili Mh. Magufuli ameamua kuja na sera bora ya afya itakayomfanya kila Mtanzania kuwa na uhakika na afya yake hatimaye kumuwezesha kufanya kazi zake vema na kuinua uchumi wa nchi. Haina maana kwamba haya aliyoadhimia kuyafanya Mh. Magufuli hayakuonekana na viongozi waliotangulia, la hasha bali kila kiongozi hutatua tatizo sugu zaidi lililopo kwenye kipindi chake cha utawala.
Mh. Magufuli ameamua kufanya yafuatayo ili kuhakikisha afya za Watanzania zinaimarika:-
Kuandaa utaratibu utakaomuwezesha kila Mtanzania kupata bima ya afya kwajili ya kupata matibabu hata ule wakati ambao hana pesa kabisa
Kuongeza idadi ya waganga na wauguzi pamoja na kuimarisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vyote vya tiba. Sasa wananchi wanakaribia kusahau suala la kuambiwa wakapate huduma fulani kwenye hospitali binafsi kisha warejee kwenye hospitali ya serikali kuendelea na tiba.
Sambamba na hilo Mh. Magufuli ameapa kupambana na watumishi wa sekta ya afya wanaohujumu upatikanaji wa dawa kwenye hospitali za serikali pamoja na vituo vya afya; ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaomba kura Wananchi wa Katavi.
Pia Mh. Magufuli amedhamiria kuboresha makazi ya wahudumu wa sekta ya afya hususani vijijini pamoja na kupambana na madawa ya kulevya ili kutengeneza nguvu kazi bora ya taifa.
Ni ushauri wangu kwa Watanzania wote tumchague Mh. Magufuli ili aweze kutekeleza haya na hatimaye kupata maendeleo kwa kasi zaidi
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Magufuli
#Hapa kazi tu

Labda atoke ccm, maana ma ccm kazi yao kubwa ni kutumia raslimali za nchi kwa faida yao na familia zao. Sasa hivi yanamsaidia kwenye compain kulinda maslahi yao, ndiyo kubwa zima haliishi kusema sitawaangusha, unajua maana yake? Ccm ni ileile na magufuli ni ccm, hakuna jipya hapo.
 
na huyo mnayemnadi amekuwemo kwenye serikali zaidi ya miaka 30.. na hakufanya hayo. Mnadhani ataweza kuyafanya. Saiv kama mnadhalni kuna upinzani mnajidanganya. Ni ccm vs ccm. So hakuna upande wa kumsema upande mwingine. Tuchagua tu nani anaweza kufanya kazi zetu vizuri.

Umeongea kimahaba sana
 
Waliahidi watoto bure nendq muhimbili ct scan.eeg.ultrasound watoto wote wanalipa.hajuwi asemalo hataweza kusimamia hili.
 
Zambia walimchukia Kaunda na chama chake kwa madai ya ufisadi mkubwa! Walimuondoa Kaunda, waliofuata wakawa na njaa zaidi chini ya uongozi wa Chiluba, hali ya Zambia ilikuwa mbaya zaidi kipindi cha Chiluba kuliko kipindi cha Kaunda. Hadi leo uchumi wa Zambia uko hoi!

Lowassa anafahamika vizuri, hata Baba wa Taifa aliweka wazi kuwa Lowassa si safi na Watanzania wanalijua hilo, leo anaomba kwenda Ikulu kwa gharama kubwa akitumia fedha zake na za maswahiba wake, hivi akiingia Ikulu hali ya uchumi wa Tanzania itakuwaje?

Nakubaliana kabisa na hoja kuwa CCM imeshindwa kuleta mabadiliko kwa zaidi ya miaka 50 na Lowassa na wafuasi wake ni sehemu ya kushindwa huko, je wakiwa UKAWA watakuja na lipi jipya?
Je, hawatakuwa busy kurejesha fedha zao walizotumia katika mchakato wa kupata nafasi ndani ya CCM, kuwahonga Mbowe et al., na gharama za uchaguzi mkuu kwa ujumla?

Upinzani wa kweli umetupwa nje kwa nguvu ya fedha, ee Mungu isaidie Tanzania, amina.

Kuanzia 2014 Zambia imetangazwa kuwa nchi a uchumi wa kati; siyo taifa maskini tena kama Tanzania. Mabadiliko ni kuanza; wazambia walianza mwaka 1991 wametoka miaka 23 baadaye. Tanzania bado tujaanza safari, bado tunaangaika na CCM yao.

Nchi haiongozwi na mtu mmoja bali mfumo wa utawala. Tofauti na utawala wa sasa, UKAWA wame-design muundo na mfumo mpya wa kuendesha serikali. Usimwangalie na kumtathmini Lowasa wa UKAWA katika muundo na mfumo wa utwala wa sasa.

Lowasa na wengine waliohamia UKAWA wamesema wazi kuwa chini ya mufumo wa utawala wa sasa, wasingepatafursa ya kuiwezesha Tanzania kupata mabadiliko. Waliamua kujiunga UKAWA ili wapate fursa ya ku-engineer mabadiliko nchini Tanzania

Si ungejiunga nao hao unaowaita wapinzania wa kweli, badala ya kushabikia watawala wa sasa? Mantiki iko wapi
 
magufuli aikonga sekta ya afya
sekta ya afya ni muhimu na nyeti mno kwakua inagusa kila hatua ya maisha ya mwanadamu. Kwa mfano mtu hawezi kufanya vema kazi yake kama hana afya nzuri hata mh. Rais hawezi kutekeleza majukumu yake vizuri kama hana afya imara.

kwa kuliona hili mh. Magufuli ameamua kuja na sera bora ya afya itakayomfanya kila mtanzania kuwa na uhakika na afya yake hatimaye kumuwezesha kufanya kazi zake vema na kuinua uchumi wa nchi. Haina maana kwamba haya aliyoadhimia kuyafanya mh. Magufuli hayakuonekana na viongozi waliotangulia, la hasha bali kila kiongozi hutatua tatizo sugu zaidi lililopo kwenye kipindi chake cha utawala.
Mh. Magufuli ameamua kufanya yafuatayo ili kuhakikisha afya za watanzania zinaimarika:-
kuandaa utaratibu utakaomuwezesha kila mtanzania kupata bima ya afya kwajili ya kupata matibabu hata ule wakati ambao hana pesa kabisa
kuongeza idadi ya waganga na wauguzi pamoja na kuimarisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vyote vya tiba. Sasa wananchi wanakaribia kusahau suala la kuambiwa wakapate huduma fulani kwenye hospitali binafsi kisha warejee kwenye hospitali ya serikali kuendelea na tiba.
Sambamba na hilo mh. Magufuli ameapa kupambana na watumishi wa sekta ya afya wanaohujumu upatikanaji wa dawa kwenye hospitali za serikali pamoja na vituo vya afya; ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaomba kura wananchi wa katavi.
Pia mh. Magufuli amedhamiria kuboresha makazi ya wahudumu wa sekta ya afya hususani vijijini pamoja na kupambana na madawa ya kulevya ili kutengeneza nguvu kazi bora ya taifa.
Ni ushauri wangu kwa watanzania wote tumchague mh. Magufuli ili aweze kutekeleza haya na hatimaye kupata maendeleo kwa kasi zaidi
mungu ibariki tanzania
mungu mbariki magufuli
#hapa kazi tu

nahisi unahitaji kuongezewa damu
 
Huu uzi uunganishwe na wa Dr.Mo-mods fanyeni kazi
 
Mavi yake..ahadi ngapi kama hizo..mbona hazikutekelezwa....50yrs+..nyimbo zilezile..tumechoka kudanganywa..kwanza sisi ni wapumbavu na malofa...safari hii mtauona mziki..hamtupati n'goooo..lowassa nanatosha!
Yni ni vijana tumekua bogus kbsaa...naona Imekua kosa nchi yetu kutimiza miaka hamsini ya muungano.kila hoja miaka hamsini .hvi miaka hamsini Katikati maendeleo mnaiona Mingi sana eh.hvi mnajua china imetumia miaka mingapi kufika hapa ilipo.kumbuka nchi yetu chin ya baba wa taifa tuliwekewa vikwazo vingi sababu tu ya kuutukuza ujamaa.tulicollapse kbsa.hayo yote namaanisha kiuchumi tuna miaka 30 tu tokea tuanze mageuzi.changamoto zipo watu wanaongezeka kila siku vijiji vinakua miji serikali imejitahidi kuendana na kasi hii.ttzo ni watu sio chama..waadilifu wapo ila wanaangushwa na Mbwa wachache..hio ni sawasawa na kukemea Dini nzima kisa watumishi wachache ni wazinzi
 
Back
Top Bottom