Recent content by wandes

  1. wandes

    JamiiForums Tanzania Dondosha jina la movie yako kali ya 2020 - 2021

    😁 hongera mzee, Luca (2021) wametuchukua wengi
  2. wandes

    JamiiForums Tanzania Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

    awkwafina ( Awkwafina) vignette ( Carnival Row)
  3. wandes

    JamiiForums Tanzania Dondosha jina la movie yako kali ya 2020 - 2021

    Luca, The Suicide Squad, Mimi(Hindi).
  4. wandes

    JamiiForums Tanzania Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

    initial release yake ilikua 2020 kwa mji wa New Yorko tu worldwide release imekua mwaka huu i guess may 2021. ni hiyo hiyo missyrose
  5. wandes

    JamiiForums Tanzania Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

    part 1 and II
  6. wandes

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

    Call me by your name, stupido movie ever, niliona mahali wamezungumzia vizuri(upuuzi wa wazungu) at the same time nyimbo ya Montero ya Lil Nas iko trend, jina la pili ya Montero ni call me by your name. Aisee napenda kuangalia drama tena za 2000s kuja juu lakini hii movie nilijuta kupoteza mbs...
  7. wandes

    JamiiForums Tanzania List ya Movies ambazo smart people wataziona zipo More interesting

    Into the wild Mother( Jennifer Lawrence)
  8. wandes

    JamiiForums Tanzania Fast & Furious 9: Umeionaje?

    waache kutengeneza hizi movies, tumechoka.
  9. wandes

    JamiiForums Tanzania Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

    anyway movie ni nzuri kuangalia, wamejitahidi ubunifu ni wa kawaida can't compare to part 1 yake au movie kama bird box. Djimon(black man mwishoni) anakufa simple sana, inshort sipendi uzembe wa vile kwenye movie yoyote ile.
  10. wandes

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    movie inaitwa INTERSTELLAR, nimeitafuta website nyingi sijafanikiwa, kama unajua website naweza download hii movie nisaidie, natumia simu.
  11. wandes

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini wasichana waache kunitania?

    Tafuta kitabu kinaitwa THE DATING WIZARD kitabadilisha mfumo wako. Kitabu kiko simple na ukiweka lengo siku 4 mpaka 8 unakimaliza. kipo humu jf
Back
Top Bottom