Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.
Afu eti imagine kwa dunia hii ya sasa hivi NBC wana sim banking ambayo huwez kuhaamisha pesa kwennda bank nyingine.
These...
Nilichobaini watu wengi hatuyajui hays Magari sema tunajadili. Ni kweli consumption ya subaru legacy kwenye dashboard huwa inasoma kuanzia 5.5 hadi 13 au zaidi. Lakn hiz Namba hazina maana kuwa ikisoma 5.5 ndo Inatembea lita Moja kwa kilometres 5. Hiz gar consumption yako imewekewa kwa 100km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.