Recent content by wamilika

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza

    Kichwa cha habari kinajieleza...ninatafuta mume aliye tayari tumalizie uzee nina miaka 33 na nina mtoto mmoja . Umri uwe miaka 35+ Dini awe mkristo...Mengine tutayajenga karibuni pm.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

    Huna jipya kila mtu na imani yake aisee ,simamia unachoamini bt usiwakwaze wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. W

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

    Ndo maana umechanganyikiwa kumbe,unatapatapa tu na bado Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

    Hujielewi wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 tunayofanya wakati wa kulea watoto

    Si jambo jema kukashifu dini ya wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. W

    JamiiForums Tanzania Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

    Anataka watu watume picha zao humu Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom