Mtu mwenye nidhamu ya kuweka akiba ya pesa, mambo mawili humuongoza katika safari yake ya mafanikio
1. Matumizi ya lazima
2. Matumizi ya muhimu
Matumizi ya lazima
Ni aina ya matumizi ambayo mtu mwenye nidhamu ya pesa au mtu yeyote akikosa hupata madhara na kuhatalisha maisha yake. Mifano ya...
Ahsante. Ndugu. ila kumbuka
Unachokifanya wewe au unachokijua wewe.
Usijione wa kwanza kuwaza hicho kitu au kufanya hicho kitu
Maelfu ya watu wanalijua hilo jambo
ila wachache tu wamefaidika nacho
Chukua hii "chanzo cha mafanikio ni kufanya sio kuwaza kifikra". Fikra kila mtu anazo ila...
Asilimia kubwa ya watu wengi tuna ndoto za kuwa mjasiriamali
asilimia kubwa ya watu wengi wana ndoto ya kujiajili na kumiliki biashara zao wao wenyewe. Kila mwenye ndoto ya kuwa mjasiriamali hasa katika biashara ana malengo au wazo la kuanza biashara flani ila katika hili wachache hutimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.