Recent content by Wamba de Wamba

  1. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Prof. Mkenda, Tambua wanasemina walimu wa sayansi waliopo Butimba TTC tokea Tabora hawajalipwa siku ya nne hii

    Habari wana JF, Moja kwa moja kwenye mada. Poleni sana wanasemina. Ukweli mchungu lakini kiuhalisia hii kada inastahili itizamwe kwa jicho la kipekee sana. Cha kusikitisha sana tumekimbilia kuanza kuandika Sera na mitaala kabla ya ku-define mahitaji ya resources etc. Binafsi bado siamini na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri wa Elimu kuhusu Shule ya Sekondari Chemchem

    Shekulumkende! Samahani! sijalaleta mada hii kwa nia ya kufurahisha nafsi yangu hivyo naomba nikuhakikishie kuwa mjadala huu juu ya mada hii utafanikiwa kwani naamini na mpaka sasa SERIKALI IMESHACHUKUA DRASTIC MEASURES HIVYO kipimo au kipimio ulichokitumia mtanzania mwenzangu si sahihi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri wa Elimu kuhusu Shule ya Sekondari Chemchem

    Kijiji cha chemchem S.L.P 30...
  5. W

    JamiiForums Tanzania BRN na ubovu wa wakuu wa shule kondoa kusini/chemba

    Ndugu yangu uliyoyasema ni sahihi naunga mkono. Mwezi uliopita nilipata kuwasilisha hoja ya aina hii hii kuhusu shule ya sekondari Chem chem iliyopo wilaya ya Iramba ( sasa wilaya mpya ya Mkalama). Mimi ninaamini kwa mwendo huu hatuwezi kuboresha taaluma kwa wanafunzi wetu. Hata hao waliopewa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Itilima Simiyu yafukuza walimu wote wa Shule za Sekondari

    Bwana Castro Mao! Nimesoma na kuelewa kile ulichokieleza.Nakuomba endapo utapata uthibitisho wowote kati ya yale ulobainisha hapo juu, tuletee wa JF. Usikate tamaa pindi uletapo hoja kwani kila mtu atakuwa na mchango wake wa kimawazo. Haya uliyoyasema ni makubwa na si madogo na hivyo wana JF...
  7. W

    JamiiForums Tanzania ubakaji jkt

    Inasikitisha sana. Hii ni kasoro na ni vyema wenye dhamana wakafuatilia.
  8. W

    JamiiForums Tanzania watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

    Ndugu yangu Money Stunna, Nimeguswa na mada yako ulowasilisha kwa wana jf. Napenda nami nichangie kama ifuatavyo. Awali ya yote napenda nitoe mwelekeo wa mawazo yangu. Siko hapa kwa kumubeza Mtanzania mwenzangu ila napenda kusema ninayoyajua na kuyafahamu kadri ya uelewa wangu. Ni ukweli...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa shule ya sekondari chemuchemu- wilaya ya iramba -mkoa wa singida.

    Ni siku chache zimepita niliandika mada tajwa hapo juu. Nafsi imebidi nianze pole pole kuleta yaliyo bayana. Kwa leo naleta mambo kumi na tatu tu na kwa ufupi. 1. shule hii haina BODI YA SHULE. 2.shule hii haina SMT 3 shule hii haina muondo wa uongozi na hao waliopo ni vijisamaki ndani ya...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa-shule ya sekondari chemuchemu wilaya ya iramba

    Ni siku chache zimepita niliandika mada tajwa hapo juu. Nafsi imebidi nianze pole pole kuleta yaliyo bayana. Kwa leo naleta mambo kumi na tatu tu na kwa ufupi. 1. shule hii haina BODI YA SHULE. 2.shule hii haina SMT 3 shule hii haina muondo wa uongozi na hao waliopo ni vijisamaki ndani ya...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha dodoma

    Ni muda sasa tokea Chuo hiki kianze ambacho kimekuwa kikimwagiwa sifa kipindi kikianza. Nilianza kusikia sifa hizo nyingi na kupata hamu ya kusoma katika chuo hiki lakini haikuwa bahati yangu na Mola akanipeleka Makerere. Cha kushangaza sifa hizi nilizokuwa nikizisikia zillianza kuporomoka na...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

    Umenikumbusha mbali sana. Ebu niongezee nami haya yafuatayo 1. mchapuko- acceleration 2. Mwendodhahiri- velocity 3. Tungamo- mass 4.Ujazo nene- Density 5.Matamahuluku- humas 6.Fomula jarabati- Emperical formula
  13. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kufikia big results za wizara ya elimu- wilaya ya magu

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Naibu waziri wa Elimu,Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Elimu,Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu. Naamini kwa hivi sasa moja ya mambo makubwa yanayotikisa sekta hii ni namna ya kuinua taaluma katika Taifa letu hili.Ipo mipango mingi kedekede ambayo mumeiweka...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa-shule ya sekondari chemuchemu wilaya ya iramba

    Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Dr.Shukuru Kawambwa., Mheshimiwa Waziri, ofisi ya waziri mkuu Tamisemi anayeshughulikia elimu,Kassim Majaliwa., Mheshimiwa waziri wa wizara ya maendeleo, jinsia na watoto., Mheshimiwa waziri, ofisi ya Rais utawala bora.Kwa hakika, naamini fika kila niliyemtaja hapo...
Back
Top Bottom