Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

Uchavushaji- Pollination,maada-matter,Mabadiliko ya kikemikali na mabadiliko ya kiumbo,majira ya nukta,chembe sahani,pistili ,sepali na petali
 
wakuu mnakumbuka ule mvutano uliozuka mwaka 2000 juu ya matumizi ya neno "tonoradi" ,badala ya "atom"?
 
1.Uchavushaji-Pollinatination

2.Mnururisho-Radiation

3.Yabisi-Solid state of matter

4.Mwendo dhahili-Velocity

5.Kan-Force

6.Wenzo-REVEL

Ebana ee kazi kwelikweli tumetoka mbali!!!!!!!!!!

Mpitisho=conduction
Msafara=convection
 
HII ILIKUWA INAITWA MBATILISHO
MBATILISHO ni kitendo cha kuchanga nyongo na tindikali kupata chumvi na maji tu

Tindikali-acid
Nyongo-base
"Ukichanganya tindikali na nyongo unapata chumvi na maji"
"the combination of acid and base gives salt and water"
 
Umenikumbusha mbali sana. Ebu niongezee nami haya yafuatayo
1. mchapuko- acceleration
2. Mwendodhahiri- velocity
3. Tungamo- mass
4.Ujazo nene- Density
5.Matamahuluku- humas
6.Fomula jarabati- Emperical formula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom