Hoja yako haona mashiko kaka maana haina utafiti wowote ule,ila tu unazungumzia walaviepe wa dar cjui wanahusikaje huku kaka.Kwa takwimu za mwisho zilizo toka tajiri aliyetokea kanda ya ziwa ni Mfuruki.Endelea kupambana na hali yako.
Rangi ya nyoka haikufanyi umtambue kwamba anasumu au la.Kati ya hao niliyeweza kumtambua ni hy mweupe anaitwa Garbon viper.Anasumu kali na kidonda chake hauponi.
Nimeoan kwenye taarifa ya habari Zito akiwa mtoa mada ktk warsha ya Kigoda cha Mwalimu,nimevutiwa sana na shahiri lile la Jenerali ulimwengu.Kwa yeyote aliyenalo naomba alitupie humu.
Kawiche
Nashindwa kuelewa viongozi wa nchi yangu niiepandayo na kauli zilizopitwa na wakati eti nchi ya Amani na rasilimali.Je kauli hizi zinamsaidia nin mTz wa kawaida.Vuta darubini hapa hayo mabilioni yatakayotumika kuleta hao Experts cingekuwa ni hatua ya kwanza kuweza kujadiliana na hawa Specialist...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.