Mbona Watanzania tupo kama Ngiri tuna National Disaster inaendelea hapo Kariakoo hadi sasa watu bado wapo chini ya kifusi bado Serikali inatoa funds kulipia watu kuingia viwanjani wakati zinahitajika kwenye uwokozi? Ina maana hatujali wenzetu? Kwa ubinafsi huu tukivamiwa tutaweza kujilinda...
Tunachukulia kwa uwepesi sana suala zima la uchaguzi na demokrasia lakini kuwa na viongozi waliopatikana kwa njia zisizokuwa za haki zina madhara makubwa sana kwetu wananchi.
Sawa hadi pale utakupokuta umetengewa bajeti 200m. Kati ya hizo umepewa maelezo toka juu 150m ziende sehemu ambao haina uhusiano wowote na emergency preparedness halafu halafu hiyo 50m unaambiwa kuna vikao na drill zitakula 45m. Utabaki na 5m ya kutayarisha proposal kwa wadau kuomba msaada kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.