MREJESHO MFUPI WA KITI CHA NCHI. Natumaini wore ni wazima wa afya ndugu. Kwa kipindi kirefu tulikuwa field kidogo kuchunguza na kujua namna kiti cha nchi kilivyosukwa na namna ya kukifumua. Kwa ukweli kwa Afrika hii hakuna kitu kigumu na kilichosukwa kwa gharama kubwa kama cha hii nchi...
Najua wengi mnakiu ya somo kuendelea ila kwa sababu nzito sana naomba sana kuendeleza somo baada ya uchaguzi. Japokuwa nimeombwa na watu wazito sana nisiendeleze somo na matisho juu.
Kwa haraka haraka, kete zilishachezwa kitambo Sana, ndani ya vile vyumba nyeti vya giza tupu na kumwangukia mama!. Kwa urahisi now mama ni mkubwa kuliko cha ma ( mama ndiyo chama!). Kwa wenye hekima na kujua maarifa hili linatambulika vizuri sana!.
Kama unaakili gundua vita inaelekezwa...
Episode inayofuata ni kuhusu, Moja;Kiti cha Tabora kushindwa kuhimili vishindo na kusalimu amri kwa kuanguka. Pili;Tutajadili kauli ya"Nilijivua Urais na kumkabidhi........." Na hivyo kiti kikailamba damu yake mapema.Nani kufuata!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.