Recent content by walimweupe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Dodoma ni Magumu sana

    Mkulungwa, unalinganisha bei ya bidhaa Dodoma na kipande kipi cha nchi. Bei ulizozitaja nikilingasha na DAR mbona ni za kawaida, mfano kilo ya mdudu kwa TZS 10,000
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ficha mambo haya, kisha njoo unishukuru

    Safi sana kiongozi, nimekuelewa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyemjua Mwalimu huyu wa Michezo Aza Boy kuwa alikuwa Jasusi(kachero)refa wa mchezo wa Ngumi?

    Hao ndio wazee wa michongomani, wanakunja daftari halafu wanasindika mfuko nyuma...mjanja yeye
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio ofisi 23 ambazo waajiriwa hujisikia na wana nyodo sana

    Ni wivu tu, ni wivu.!.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    SI RAHISI NABII KUPATA HESHIMA ANAYOSTAHILI AKIWA VIUNGA VYA NYUMBANI KWAO
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mapokeo ya Makabila

    Kuna makabila yameshikilia mambo ambayo hayana mashiko ukilinganisha na nyakati tulizonazo. Mfano, ktk familia kuthamini zaidi mtoto wa kiume kuliko mtoto wa kike hata pale inapoonekana binti kuwa ni mwenye uwezo zaidi. Inasikitisha sana sana pale ambapo utakuta ubaguzi huu unatendwa na wazazi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mchepuko king'ang'anizi

    oa bilhi zote acha woga na uvivu
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya huyu mwanamke sijaielewa, Ukija kwangu marufuku kunywa pombe!!!!!

    Hilo linazungumzika, amekuzuia kuifikia pombe si yeye mwenyewe......mkubalie mzazi mwenzio
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kila goti litapigwa! GSM waanza kuisoma namba!

    Rafiki mbona kama unafurahi kutaabika kwa mwenzako. Halafu athari ya hayo makitu hayawezi kukuacha salama.... kuna kodi imepungua hapo (PAYE), wengine wana familia na wategemezi huwezi jua wameathirika vipi kwa hilo punguzo. Sasa kuna la kufurahia hapo
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wanaovaa nembo ya 7 colors of rainbow, ni kutokujua maana yake au ndio mashoga wenyewe?

    heee, kumbe! sikuwa nafahamu hilo. nashukuru kunihepesha
Back
Top Bottom