Recent content by walii bm

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kozi za degree na aina ya kazi!

    Wakuu habari zenu ,naomba msaada kwa Nina mdogo wangu amepata chuo kwa kozi ya record and management katka chuo kikuu hapa nchini sasa nauliza atajihusisha na kazi gani? Naomba kujuzwa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Walimu "WADODA" na barua zao za kupanda vyeo tangu mwezi Mei bila kurekebishiwa mishahara yao

    Mkuu ni subira tu walimu wapo waliopanda August .
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Mbeya na Kagera yatajwa kuongoza kwa utapiamlo na udumavu kwa watoto

    Mbeya kula chakula cha aina moja,vingine watuuzia mikoani
  4. W

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kwa haya mambo yanayofanywa na Watanzania

    Kweli kabisa huku kwetu boss akiongea pumba anasifiwa MTU wa kawaida akiongea point haichangiwi..ni dalili za kutokujiamini
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

    Pole watoto wa kike tamaa na mikumbo zinawatafuna.msamehe ,mtafute ba kijacho alee mimba
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha

    Sijaelewa
  7. W

    JamiiForums Tanzania Laana na mikosi inayotokana na zinaa, hii kitu ina uhalisia?

    Kama kuna kaukweli hivi..yani
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kwa mwanaume kujisifu akiwa na hivi vitu..

    Kuna mwingine alikuwa anajisifu ana sura nzuri..ati
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa maisha

    Kila mtu ana kipaumbele chake,mwingine kuoa,mwingine kuwekeza ,mwingine starehe za pombe na madem ...
Back
Top Bottom