Recent content by walcot

  1. W

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Belt na water pump ziko vizuri hata feni inafunguka
  2. W

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Gari nilinunua 2017 haikuwa na hiyo tatizo ilianza gafla mwaka jana mwezi wa 7 na wala haichemshi. Kuondolewa kwa thermostat kuna athari yeyote?
  3. W

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Thanks kwa ushauri Mkuu, naomba nisaidie aina ya mfuniko mzuri maana nimebadili mara mbili na kuna fundi alidai inasababishwa na thermostat akaitoa lakini tatizo likaendelea
  4. W

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Habari Wakuu! Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta lakini tatizo bado linaendelea.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo ya gari

    Ahsante sana kwa ushauri Mkuu, nilibadilidili plugs kwa kuagiza kupitia agent wa Toyota bt tatizo liliendelea kuwepo pia kuna fundi alinichekia akadai tatizo liko kwenye Air Mass flow imechafuka aliposafisha tatizo liliisha baada ya muda likajirudia. Naomba ushauri wako zaidi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo ya gari

    Habari Mkuu, Nina IST ina tatizo la kusitasita ikifikia kati ya speed 60 na 90 ikiwa chini ya 60 au zaidi ya 90 inakwenda vizuri. Naomba unifahamishe tatizo lake na ufumbuzi. Thanks
  7. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Sware Vincent Semesi mbunge mteule viti maalum CHADEMA ni lini amekuwa mwanachama wa CHADEMA?

    Sry mkuu hivi Mbowe ana elimu gani vile???
  8. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    hamieni Uganda na Lowasa wenu kuna mchakato wa uchaguzi umeanza jana labda utabiri wa T.B. Joshua unaweza kutimia kwa Tanzania Magufuli ndiyo Rais na Amiri Jeshi Mkuu
  9. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hata kama hamtaki. Kama mnaona lengo la mabadiliko halijafikiwa kwa kuzungusha mikono muanze KUZUNGUSHA VIUNO labda mnaweza kubadilika
  10. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    hebu acheni hizo akili za viroba, hivi kweli unaweza kutawala nchi na wabunge 25 kati ya 264. Kimsingi uchaguzi umeshapita kafanyeni kazi sasa
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mbona wenye akili zao walikuwa wanajua yale yalikuwa ni maigizo na wale vijana walilipwa kurekodi ile movie. Na sasa hivi mnasubiriwa mfanye mazengaumbwe ya kuzungusha VIUNO badala ya mikono wakati huu MAGUFULI anasubiria kutangazwa. HAPA KAZI TU
  12. W

    JamiiForums Tanzania Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

    hata ITV nayo si Chadema wameinunua
  13. W

    JamiiForums Tanzania CCM, Magufuli kufanya kampeni Dar es Salaam mnapoteza muda wenu!

    hizi akili mnazotumia kufikiri kwa sasa zinatokana na mazengaumbwe ya kina Gwajima na T.B. Joshua. Hakuna shaka baada ya 25 octoba mtarudishiwa akili zenu wakati huo tingatinga yuko Ikulu na Laigwanan atakuwa nje ya nji kwa mapumziko na ........
Back
Top Bottom