Recent content by walalahoy

  1. walalahoy

    JAMANI MSAADA UHAKIKI WA VYETI RITA NAONA TATIZO LIMERUDI TENA AU NI KWENYE ACOUNT YANGU TU!!!!

    nikifungua account inaniambia wrong user name or pasword wakati jana nmefungua ilikua poa kabisa
  2. walalahoy

    JAMANI MSAADA UHAKIKI WA VYETI RITA NAONA TATIZO LIMERUDI TENA AU NI KWENYE ACOUNT YANGU TU!!!!

    Msaada tafadhali kama kuna namna nyingne ya kuingia kwenye akaunti ya uhakiki rita anisaidie maana mara ya tatu sasa nafanya hili zoezi...
  3. walalahoy

    Equivalent wanapataje AVN number mwaka huu kwa ajiri ya kuapply vyuo

    utaratibu wote upo nacte we ingia fuata maelekezo unaipata vzur tuu
  4. walalahoy

    Nawezaje kurudisha system apps katika simu ya Huawei?

    nlifuta kupitia app moja nlitoa playstore inaruhusu kufuta system apps ila mara mwisho nkafuta mbaka zisizo futwa
  5. walalahoy

    Nawezaje kurudisha system apps katika simu ya Huawei?

    hellow wana jamvi naomba mwenye uelewa jinsi ya kurudisha system apps zilizo futwa katka sim aina ya huawei.....nimerajiru ku fanya restore default lakini hiki ndo naletewa na haiendelei kufanya chochote... msaada tafadhali
  6. walalahoy

    Pata joining instructions za vyuo mbalimbali

    Joining Instruction/Maelezo ya Kujiunga
  7. walalahoy

    Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

    NAOMBA KUULIZA MENU YA KULIPIA LOANBOARD KUPITIA AIRTEL MONEY PLEASE....
  8. walalahoy

    Msaada: Laptop yangu haisomi usb

    sijafanya chochote mara kwanza nlijua driver zina miss nka weka driver pack ya online nkaambiwa all driver installed alaf bado hazisomi..
  9. walalahoy

    Msaada: Laptop yangu haisomi usb

    ZOTE NNE HAZISOMI HATA MOJA
  10. walalahoy

    Msaada: Laptop yangu haisomi usb

    SIJAJUA NAZICHEKI VIP, AU MBAKA IFUNGULIE?
  11. walalahoy

    Msaada: Laptop yangu haisomi usb

    NIMEITUMIA MWAKA WA TATUI SASA HAIJAWAHI FANYA IV...HILI TATIZO LIMEANZA JUZI TU MBAKA SASA HAKUNA PORT INAYON SOMA USB WALA FLASH
  12. walalahoy

    Msaada: Laptop yangu haisomi usb

    DRIVER ZOTE ZIKO VZUR NA NMETUMIA ONLINE DRIVERPACK
  13. walalahoy

    Msaada: Laptop yangu haisomi usb

    MSAADA ANAE JUA JAMANI, LAPTOP YANGU AINA YA LENOVO HAI DETECT FLASH WALA USB YOYOTE KATIKA PORTS ZOTE....MSAADA NIFANYAJE???
Back
Top Bottom