Recent content by wakyo

  1. W

    Maskini vijana wa CCM mitandaoni, utawahurumia

    Wewe pambana na maisha yako achana na siasa utashutuka umezeeka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. W

    Napingana na Dunia nzima, Kenya inaangamia!

    Mkuu, kwakweli wewe ni msomi nimekukubali na uchumi wao utashuka sana, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. W

    Baada ya onyo la Rais Magufuli kwa UVCCM (Sadifa na Shaka), TAKUKURU kufa na wafuatao

    Huyu Ayubu Tesha amemhonga mpaka na DC Mnyeti Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Magufuli alimuhonga nani? Acha uongo unadhani magufuli ndo lowassa aliyemuhonga Mbowe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Hata Kitira Mkumbo na Polepole walikuwa na taaluma zao lkn sasa hivi unawasikia, hahahaha, jina lako tumempa Mh,Kijazi atampa Mh,JPM tulia utapewa cheo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Nitampa jina lako Mh, Rais atakupa UDC kama mwenzio polepole na utatulia ukishapewa, maana hata mwenzio alisema haipendi ccm lkn sasa hivi ndo anajifanya kutoa somo la Itikadi ya ccm sijui kajifunzia wapi kama sio kudanganya makada, mpaka leo kasahau serikali tatu alizotaka, hahahaha njaa mbaya...
  7. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Na wewe unatafuta uteuzi, hata mwenzio polepole nae alikuwa anahubiri kuhusu baraza la Vijana baada ya kuteuliwa sasa hivi anakula amelisahau, tutamwambia Mh,Rais akuteuwe nawe ule Sent using Jamii Forums mobile app
  8. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Kwenye hii list uliyotuma hakuna atakae pita kwenye mchujo, hata wakipitisha 20 bora hakuna atakae onekana kwenye list wote Sent using Jamii Forums mobile app
  9. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Jokate mgombea wake ni Mwakibinga, tunawafahamu sana hapo makao makuu kila mtu na mgombea wake na nina Imani Mh,mwenyekiti wetu Taifa Dr.magufuli anazo pia taarifa hizi watapigwa kama Lowasa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Huwa hakuna siri hapa duniani mkuu, yote anayofanya watu wanajua, yeye, Sadifa na wanang'waru wote tunawajuwa na hao watu wao hawatapita ng'oo ,jumuiya imekufa, tunataka mtu mwenye uwezo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Polepole nae anamgombea mfukoni hafai, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. W

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Kweli huyu Shaka hafai, anakula sana pesa za wagombea, amehongwa na Ayubu Tesha, Kangowe, Vani na Serera pesa nyingi sana kwanza anatakiwa apishe hiyo nafasi tupewe mtu mwingine asimamie uchaguzi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. W

    Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    Muulize Olimboka atakwambia kama unaweza kuwakaba au laa!! Uzuri nawe unafahamika unapoishi watakuja uwakunje kama hawatakugeuza nyuma Sent using Jamii Forums mobile app
  14. W

    Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    Siku ukitekwa usipige kelele, uzuri wako humu wanaona Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom