Recent content by wakutafuta

  1. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Graphics card

    🙏 shukrani Mkuu
  2. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Graphics card

    Sawa mkuu kwa hiyo Ram itatakiwa iwe na MHz kanzia ngapi? Itakuwa vizuri kama kuna muuzaji unaemjua uka ni recommend maana haya mambo ukienda kichwa kichwa unapigwa za uso.
  3. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Graphics card

    Ngoja niupdate Ram tu niendelee kuitumia hivyo hivyo asante kwa ushauri
  4. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Graphics card

    Aha sawa.
  5. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Graphics card

    Asante Sana. ngoja nianze na Ram
  6. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Graphics card

    Ivi kwenye Hp elitedesk 705 g4 sff ambayo ni AMD ryzen 5 pro 2400g. Unaweza weka graphic card na kama inakubali ipi ni Graphic card nzuri?
  7. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania ADOBE ACROBATIC PRO

    Uwe na Torrent downloader....ni Adobe acrobat 2023 http://rutracker.ru/dl.php?id=192277
  8. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Vizuri[emoji1531][emoji1531]
  9. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Tupeane maujanja ya Excel

    Hold kibox cha kudrag mpaka ikulete options kama picha ya kwanza hapo then chagua fill kibox kitabadilika na kuwa kama picha ya pili then uta drag tu.
  10. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Hii ukijua commanding zake utainjoy sana yani kazi inakuwa rahisi sana sana yani. Kuna watu wamesolve paper la math la Advance[emoji2357]
  11. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Asante sana kiongozi
  12. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Msaada na bajeti ya 200,000 subwoofer gani itanifaa? kelphin
  13. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Printer HP LaserJet P1102

    Kwa navyojua mimi kwenye upande wa printer na hizi photocopy machines ukinunua za bajet ndogo garama utazipata kwenye wino na matengenezo na pia ufanisi wa ufanyaji kazi unaweza usiwe mzuri kama utakuwa unaitumia kwa mzuda mrefu.
  14. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Pakua hapa https://www.pdfdrive.com/download.pdf?id=186143084&h=1a35402004e871acb34f21e2ebeef120&u=cache&ext=pdf
  15. wakutafuta

    JamiiForums Tanzania Je, kuna shule yoyote ya Msingi au Sekondari inayofundisha kwa mfumo wa "Project Based Learning" nchini Tanzania?

    Jaribu kuangalia hii Home | Lexis Kindergarten primary yao nahisi itaanza next year.
Back
Top Bottom