Recent content by Wakulyoma

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo vijijini na halmashauri ya Msalala ni uonevu na utapeli

    Bandika kifungu cha sheria hiyo hapa ili wakija tuwatoe nduki, hawajamaa wana wataalamu fake hasa wahandisi, hivi kweli MTU uliyesomea CIVIL ENGINEERING(BUILDINGS), utshauri makao makuu ya Halmashauri ya kajengwe MBUGANI, kwenye mkondo wamaji pale Ntobho !!!???!!, bila ya kuibadilisha njia ya...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama wakwama

    HALAFU WAHANDISI WALIOKUBALI KWENDA KUJENGA MBUGANI KWENYE MKONDO WA MAJI KWENDA ZIWA VICTIRIA TUNAOMBA MKULU AWTUMBUE, MTAALAAM SIYO WA KUPELEKESHWA NA MADIWANI, , KWANINI WALIACHA ENEO LINALOMILIKIWA NA KIJIJI WALILOONYESHWA , NA SERIKALI YA KIJIJI WAKAENDA MBUGANI????!!!!??, INABIDI WAHOJIWE...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama wakwama

    PALE NTOBHO KUNA NYUMBA ZA ILIYOKUWA WORLD VISION , NDO WANAANZIA HAPO, NA TAYARI WALISHAKABIDHIWA MAJENGO HAYO, HUKO UNAPOSEMA WEWE BHUGHARAMA, MADIWANI WALISHAPAKATAA.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama wakwama

    Samahani wasukuma tunasema mashikolo "MAGENI".
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama wakwama

    Halmashauri hii iliamrwa ijengwe Kata ya Ntobho, wananchi walijitolea wakatia eneo huko makakani mwa kijiji caha Bhukarangi na kitongoji cha Bhukwanghu , yasemekana Diwani WA kata ya Ntobo akaombwa na Diwani WA kata ya SEGESE,ambae ndie M/kiti WA Halmashauri hiyo awaonyeshe eneo lililo karibu na...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Ushauri wako ni mzuri, lakini katika mauaji yoyote kinachozingatiwa na wanasheria ni "MAZINGIRA", yaliyopelekea mauaji, ya ya kukusdia, yapo ya kujihami, yapo ya kumlinda MTU asidhuriwe na mwingine, yapo yatokanayo na MTU kushindwa kuzuia hasira mfano kumfumania mgoni live, Kwahiyo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Mawazo Hasi, Kwani kituo/majengo, ndiyo yamemchoma kisu marehemu!!!!!???
  8. W

    JamiiForums Tanzania Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Mchomaji William MARWA, MKURYA, aliyechomwa ,CHACHA SUGUTA, MKURYA,!!!!???!!! "walebha ahonyene , mbwenuu!!!!!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad, ametoa msimamo mkali kuhusu majukumu yake kwamba hatumii utashi binafsi

    Kabandiko kako haka kana harufu ya kvutuga amani, unaonaje ukibadlishana uraia na mtu was Libya au Syria kwa mwezi mmoja tu kisha urudi utusmulie lifestyle ya huko, ??,nakumbuka kuna mtoto aliokotwa jangwani akikimbia mapigano huko Syria,
  10. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad, ametoa msimamo mkali kuhusu majukumu yake kwamba hatumii utashi binafsi

    Kuna watu humu waliwahi kusema watwataja walioficha Mablioni ya pesa huko ,Uswis, lakini mpaka leo kimya, hata hizi 1.5 ,nikelele za kujitfutia umaarufu wa Kisiasa , hazina ukweli wowote, in kuwajaza upepo tu watz wasiojua michezo Rafu ya ya wanasiasa!!!??!!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

    Mimi nawasihi Vigogo wa CCM, Waukatae huu mpango, kama upo , maana hawa jamaa watatuletea ya DRC KONGO ,Hawa ni wachumia tumbo.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya Madini

    He Binge letu limetaarifiwa kuhusu huu uwekezaji??, kwa Rwanda kama Rwanda, siamini, uwezo huo hawana, ispokuwa , kama kuna Mataifa ya nje has a ya magharibi yanataka kuitumia Rwanda kama daraja LA kuingilia kusomba madini yetu , huku Rwanda wakipewa padenti kidogo, ila Mimi naliomba Bunge letu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada/ushauri juu ya wapangaji wangu

    Wape Notice ya Massa 24.waondoke lasivyo walipe kodi yote.
Back
Top Bottom