Recent content by wakuchuja

  1. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Hapa kuna watu wanaleta utani lkn hawajui hali nayopitia, before nimekuwa na mali nimeishi vzr mali imepotea naona ilivyokazi kuupata mtaji mpya Naiona zihaka ninayofanyiwa na watu wangu wa karibu watu ambao mm nkiwa na maisha nlikuwa nawachukulia sehemu ya familia Unapita sehemu watu...
  2. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Sio nauli mkuu tuma tiketi nitashukuru sana
  3. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Nahama kwa hela gani mkuu, hapa sina kitu naishi kwa kaka yangu baada ya mm kuhama Mwanza
  4. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Watu ndio hawa walionitenga mkuu?
  5. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Haina shida mkuu, nielekeze sumu
  6. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Nimechoka mkuu, na sina imani tena
  7. wakuchuja

    Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  8. wakuchuja

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Vivo y22 Ram 4+4 (extended) Rom 128 Tsh 280,000/ tu Imetumika miezi miwili Simu: 0695640188
  9. wakuchuja

    Inahitajika kazi

    Ahsante nashukuru mkuu, vipi uzi ni wa hivi karibuni maana isije kuwa kazi zimeshaisha kitambo nisaidie basi pia ukanitag kwenye huo uzi no: nmezichukua nitamtafuta mkuu
  10. wakuchuja

    Inahitajika kazi

    Ahsante dada, ndio unisaidie pia kunitafutia kazi hapo ulipo
  11. wakuchuja

    Inahitajika kazi

    Habarini za mida wakuu? wacha niende moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana wa miaka 27 nimekuwa nikifanya ujasiriamali kwa mda biashara ndogo ndogo na ufundi(rangi) Ila ninapitia kipindi kwa sasa nimejikuta nakula hiki kimtaji changu kidogo nina familia ya watoto wawili na mke sina...
  12. wakuchuja

    TANESCO Geita mnatutesa siyo siri

    Kumekuwa na tatizo la kukatika sana kwa umeme mkoa wa Geita hasa vijijini sijui kwa nini Waziri anadai wanataka umeme wa uhakika lakini watendaji wa TANESCO wamekuwa wazembe kweli, mfano unalipia kuunganishiwa umeme leo unakuja kuunganishiwa baada ya miezi minne kama sio mitano Sasa kuna Kata...
Back
Top Bottom