Recent content by Wakimataifa1

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kosa la Sheikh Faridi ni nini? Ponda ana kosa gani? BAKWATA imefanya nini Kuwatetea so far?

    yoooteee mliyosema lakini hatupigii kura ukawa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM kwa sababu imefanya yafuatayo

    karibu yote ulioandika yanawahusu lowasa na sumayi ambao walikuwa watendaji wakuu wa serikali. IPL ilileta sakata la esrow na alieileta IPL ni waziri mkuu sumayi
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mbatia kamwe hachomoi Vunjo, labda Mmanga wa CCM asiwepo

    tena namwambia mbatia usipende kutamka kufananisha matamko kwenye kuruani unakosea na ukikosea kutamka umebadilisha maana
  4. W

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    wooooteeee mliochangia mada hii kwa matusi mnamatatizo ya ubongo ulioganda
  5. W

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    akina sumayi na lowasa kujimilikisha ardhi kiasi hicho kwa maneno ya mzee yusuph makamba kwa anzia leo naichukia sana chadema. lowasa hafai hata kidogo urais
  6. W

    JamiiForums Tanzania CCM wametushika pabaya

    ukawa wameshakuwa ukiwa
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    mtamchagui nyinyi ili akaitawale nchi yenu ya wajinga lakini sio TZ
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kocha Mkwasa anastahili sifa

    ila mvivu kusoma mchezo mfano tulikuwa tunaangalia alichelewa sana kufanya sabu faridi alishachoka kuanzia dk ya 60
  9. W

    JamiiForums Tanzania John Magufuli aunda rasmi mtandao kuisaka ikulu

    hizi mada za kuota mchana zitakuja kuwatokea puani
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kubenea kumvaa Dr. Slaa

    hapo kubenea sio anamchafua slaa anajichafua yeye jana alisema lowasa hashafishiki leo aseme lowasa msafi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    mtoa mada dr slaa hukumuelewa naomba mfatilie clip uisikilize kwa makini naona uliona atamshambulia vipi lowasa ndio ukawa na wasiwasi na akili yote ilikuwa hivyo
  12. W

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    hawa viumbe wa mungu kufikia kutoa maneno ya chuki kutojitambua kama wanakosea sijui ni kupagawa au vipi sijui uchaguzi ukiisha na ccm mshindi sijui itakuwaje siku hizi hata hawa chasaka tunaogopa hata kuwasalimia kama wamepagawa na nini mungu awasamehe
  13. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Ogopa dr slaa nondo zake nzito sasa kama wamehamishia choo chumbani utajibu nini ni aibu tupu
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wilbrod Slaa unajidhalilisha sana, laiti ungelijua!!

    hajidharilishi anawadhalilisha mafisadi waliopo huko.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Je, CCM imebaki safi baada ya kuondoka Lowassa?

    ccm hawana matatizo utalala nao taratibu mpaka unatoka mwenyewe kama fisadi papa alivyotoka mwenyewe madabida kesi yake ipo mahakamani karamagi kishatoka yupo caf na ccm ikipata dola inaandaa wale mnaodai wapelekwe mahakamani watapelekwa na ndio mafisadi wanajaribu kutumia nguvu kubwa kutaka uongozi
Back
Top Bottom