Recent content by Wakili tajiri

  1. W

    Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Nimekupata mkuu ngoja nikomae nikifika hatua ya finish line,nitakupa mrejesho
  2. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Hapo nimekupata mkuu ngoja tukomae
  3. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Tena kwahiyo bora tukomae na bongo yetu tu?
  4. W

    Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

    Wewe miso misondo umepigaje hapo, Ngoja niendelee kukomaa hayo uliyoandika ndiyo napitia mimi sasa hivi
  5. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Mkuu tupia pi Kwasababu gani mkuu gharama zipo juu sana au kuna anasa nyingi?
  6. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Ipo tz au wapi hiyo mkuu
  7. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Kupata mwenyeji ndiyo ishu mkuu,wewe uko wapi?
  8. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Daaah hela nyingi hiyo kwa siku nikifanya masaa 6, hata nikitoa gharama za maisha bado kuna hela nyingi sana
  9. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Mimi napambana nije huko heri nibebe boksi,ila nikija home kusalimia ni boss, mwenyeji nishapata nasubiri barua ya mwaliko ili nije
  10. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Vipi huko mbeba boksi,kazi ya kuhudumia wazee wanapata tsh ngapi kwa saa 1
  11. W

    Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Mbeba boksi wa marekani anawapita watumishi wa serikali wengi tu
Back
Top Bottom